Recent content by Agnes Kambarage

  1. A

    JamiiForums Tanzania October 14 iwe sikuku ya ubaguzi Duniani

    sikukuu ya ubaguzi iwe na siku yake maalum
  2. A

    JamiiForums Tanzania Magaidi wavamia kijiji cha Msolwa Ujamaa, Kilombero

    poleni watu wa morogoro
  3. A

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Airtel waanza mtindo wa kuibia wateja wao

    mmmh!! watatuibia sana mwishowe tukiwahama wanaanza kutubembeleza na ofa zao.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mahusiano kati ya mtoto na vazi la khanga

    nitajaribu kuwauliza wazazi na wazee wengine huenda kuna sababu nyingine....ila mimi huwa naona ni kawaida tu....nikipata majibu nitawasilisha mkuu.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mahusiano kati ya mtoto na vazi la khanga

    Ni kama mazoea tu ya sisi akina mama....lakini cdhani kama kuna maana yoyote juu ya hilo.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa madini anusurika kifo kwa risasi akigawa rushwa

    ni kweli imetokea... mwenye taarifa kamili kuhusiana na hilo atujuze kwa undani.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi serikali za mitaa 2014

    hiyo imekaa poa...tunahitaji uchaguzi wenye amani.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Pata funzo la mashairi ya wimbo 'Staki Kazi' wa Nikki II

    ni kweli kabisa...kâzi ni mpaka wa akili ya mtu na mtu akifukuzwa kazi ndipo akili itamjia yakufanya kitu kingine...bila kufukuzwa kazi huwez kujishughulisha kufanya kitu kingine coz c unajuwa mshahara upo tuu.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ndoto hizi za ajabu nimekuwa naziota zaidi ya miaka 15 iliyopita,msaada tafadhali

    ipo cku utapata utajiri....ucjali ndugu.
Back
Top Bottom