Recent content by aggy mbuya

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kati ya Chunya na Ubaruku ni wapi panafaa zaidi kwa biashara ndogondogo kama mitumba na migahawa?

    Mkuu huku maeneo vp kunafaa kwa biashara ya viatu I mean sendles za kike na kiume raba mtumba uku vp Pia vp biashara ya uwakala pia.natanguliza shukrani
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mwenye kuomba basi atapewa. Leo nawaomba connection ya eneo zuri la biashara

    Mm mwenyewe bado nasaka location yakueleweka ambayo goli nikitega litalipa mkuu bado sijapata apa nilipo asee aparidhishiii japo ni mwanzo sijajuaa ngoja niangalie na April.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mwenye kuomba basi atapewa. Leo nawaomba connection ya eneo zuri la biashara

    Mkuu swala la location nzuri ni muhim mwenyewe nafanya tigopesa watakaotupa best location watabarikiwa sana.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Unawekeza Tsh 30m unapata kodi 300k kwa mwezi. Mwenzio kawekeza Tsh 2m anapata hiyo hiyo

    Asse boss tupeni location mchawi kwa hii ni location tunawish kutoboa
  5. A

    JamiiForums Tanzania Unawekeza Tsh 30m unapata kodi 300k kwa mwezi. Mwenzio kawekeza Tsh 2m anapata hiyo hiyo

    Boss umenena hii kitu ni location na mpaka sasa kwa hapa dar sijaipatia location unaweza kunishaur mkuu?naomba
  6. A

    JamiiForums Tanzania Je, ilichukua muda gani kuanza kupata faida katika biashara yako?

    Nimejifunza mengi kwenye huu uzi
  7. A

    JamiiForums Tanzania Dah! No true love

    Pole sana
Back
Top Bottom