Kila anayeenda dhambi huku akijua siyo sahihi huyo anakuwa anataka kwenda jehanamu. Jeshanamu iliundwa kwaajili ya shetani na malaika zake.
Hakukua na haja ya kukaa kikao, ukweli upo wazi ukitenda dhambi bila kutubu na kuacha hiyo dhambi hatima Yako ni motoni. Kila mwanadamu anajua jema na...
Nilianza kwa kushindwa kuona vizuri mwaka 2012,nilipewa dawa mbalimbali sikumbuki kwa sasa ila zilikuwepo Prednisone pamoja vitamin B, kipindi natumia hizo dawa masikio yalikwa yanapiga sana kelele ,tatizo la uoni hafifu lilipoisha ndio likaja hili la usikivu.
Ni kweli mawasiliano yangu mengi ni maandishi, changamoto ya usikivu lilizalizaa ukimya, kwakua marafiki wanapokaa kuzungumza naweza nisijue kwa mapana wanaongelea Nini, hili lilifanya nisiwe napendelea kukaa sehemu wanayozungumza kwasababu nilionekana msumbufu kwa kuuliza maswali Ili na Mimi...
Kwa mara ya kwanza tangu niifanamu jf ndio ninaandika post, samahani kwa uandishi mbaya.
Kilichonisukuma kuandika hii post ni kwamba nimepoteza pambona la maisha na hata nafasi yangu inanishuhudia hilo.
Nimepitia Mikasa Mingi sana hapa duniani tangu utoto wangu, nimepambana vya kutosha bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.