Recent content by agatony8l

  1. agatony8l

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi Kujiuliza nini lengo la mfuko mdogo mbele ya Suruali ya Jeans?

    Humo huwa coins, wakati nikiwa napiga ulabu nakunja na kuweka noti
  2. agatony8l

    JamiiForums Tanzania Sasa Kaamua kabisa Akili kuzitupilia mbali, anatapika tu

    Mkuu umechambua vizuri sana hongera, tuwaachie wenye intellijensia yao waje wakuzoe sijuii wataihusisha na nani kwi kwi kwiiiii
  3. agatony8l

    JamiiForums Tanzania Julius Mtatiro: Mambo 15 yaliyotokea kwenye mkutano mkuu wa chama cha CUF

    Umeongea vizuri sana i salute you
  4. agatony8l

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Mumetisha
  5. agatony8l

    JamiiForums Tanzania Master PLan ya Mji mpya wa Singapore

    Total failure
  6. agatony8l

    JamiiForums Tanzania CHADEMA chaweka kiporo urais

    Hawa watu hawakurupuki, Kumbuka 2010 baada ya kupima joto akateuliwa dk slaa hatua za mwisho, ona jinsi magamba yalivyopelekwa puta
  7. agatony8l

    JamiiForums Tanzania CHADEMA chaweka kiporo urais

    Safi sana lakini nafikiri tuwe tumeshamjua mgombea kuanzia mwezi wa sita ili mikakati ya ushindi ianze kupangwa mapema
  8. agatony8l

    JamiiForums Tanzania CUF yateua jina la Lipumba kuwania nafasi ya urais kupitia UKAWA

    Hata mimi sijui mkuu tusubiri tuone
  9. agatony8l

    JamiiForums Tanzania Mwamba wa kanda ya Kaskazini Laigwanani Mkuu kutangania kugombea Urais

    Nimemuona akiingia leo kwa ndege ya fast jet, Hakika laigwanani afya yake ina ualakini. Wacha tuile pesa yake Uraisi hapana
  10. agatony8l

    JamiiForums Tanzania CUF yateua jina la Lipumba kuwania nafasi ya urais kupitia UKAWA

    Nimeongea nilichokisikia, sijaongea ulichokisikia wewe
  11. agatony8l

    JamiiForums Tanzania CUF yateua jina la Lipumba kuwania nafasi ya urais kupitia UKAWA

    Waandishi wetu makanjanja
  12. agatony8l

    JamiiForums Tanzania CUF yateua jina la Lipumba kuwania nafasi ya urais kupitia UKAWA

    Jana nimesikiliza taarifa ya habari sikusikia mketo akitaja jina la Lipumba, nilichosikia Ni kwamba wanakaribisha wanachama wa CUF wanaotaka kugombea nafasi mbalimbali wajitokeze kuchukua fomu. Baadae ya hapo wagombea watakaopitishwa na CUF watapambanishwa na wagombea toka vyama vingine kumpata...
  13. agatony8l

    JamiiForums Tanzania MEMBE yupo LIVE ITV kipindi cha dakika 45

    ni aibu hata kusema eti ndiye waziri wetu wa mambo ya nje mh
  14. agatony8l

    JamiiForums Tanzania MEMBE yupo LIVE ITV kipindi cha dakika 45

    jamani leo nimekasirika kuliko maelezo kweli mtu anatetea wamisri na kuwaacha watanzania? kwa kweli huyu hafai kabisa kuwepo hata tanzania mi naona ni bora ahamie hukohuko kwa.waarabu
  15. agatony8l

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Uwasilishaji wa Bajeti Kuu ya Serikali, 2014 / 2015

    Serikali ya kisanii wananchi wasanii basi ni fullu sanaaaaaa
Back
Top Bottom