Recent content by Aga machine97

  1. Aga machine97

    Kwanini TRA wameficha majina ya waajiriwa wapya? Kuna siri gani? Huu ni utaratibu mpya wa Utumishi wa Umma?

    Yeah this is true kabisa. Wale ambao hawakufanikiwa pia walitakiwe watumiwe email kwamba hawajapata. This is a challenge na nakubaliana na wewe. Afu hii issue sijui kwanini, sio kwa TRA pekee hadi kwa taasisi nyengine za private wana tabia ya kukaa kimya kama myu hujafanikiwa
  2. Aga machine97

    Kwanini TRA wameficha majina ya waajiriwa wapya? Kuna siri gani? Huu ni utaratibu mpya wa Utumishi wa Umma?

    Sijajua kwa sababu gani TRA wamefanya hivi, lakini wote waliofanikiwa kupata kazi hizi walitumiwa Emails kwamba wamefanikiwa so kama hukutumiwa ni automatically haukufanikiwa, the same to kama pdf ya majina ingetoka, kama hukufanikiwa basi hata kwenye majina mtu usingekuwepo. Cha msingi ni...
  3. Aga machine97

    Kiufundi kwa Yanga SC niionayo sasa Kiubora na Spirit ya Wachezaji wake ikibaki hivi hivi Al Ahly FC anakufa Dar na Cairo

    Haya ni mawazo yako so nayaheshimu sana. Lakini kwa upande wangu mimi ni kuwa Ahly fc ni timu kubwa sana Africa, ni moja kati ya timu ambazo huenda na approach tofauti kwenye kila mechi na timu anayocheza, wewe umemuangalia ahly akicheza na simba, hujamuangalia ahly akicheza na wydad na timu...
  4. Aga machine97

    New to JamiiForums

    hhh,, tupo mzee
  5. Aga machine97

    New to JamiiForums

    Anaonekana hatoacha hiyo. hhh
  6. Aga machine97

    New to JamiiForums

    hhhhh. Haina shida boss,
  7. Aga machine97

    New to JamiiForums

    Hello guys, Nimekuwa nikiifuatilia JamiiForums kwa kipindi kirefu, lakini ilikuwa ni kupitia kwa Mitandao yake ya kijamii, but now here i am. New member of this Forum.
Back
Top Bottom