Recent content by afwe

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa gari ambalo Lissu alilitaja kwa kutumia plate number zake amewahi kulalamika?

    Mimi naona unajitahidi kutaka tuamini kuwa unahusika na matendo ya ovyo katika jamii yetu wakati wewe ni mganga njaa tu
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa gari ambalo Lissu alilitaja kwa kutumia plate number zake amewahi kulalamika?

    Tusitafutiane ban zisizo na sababu humu!
  3. A

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu: Hakuna raia anayeweza kumdhuru Lissu nje ya uwanja wa siasa, CCM na Serikali hili liko wazi

    Unaongele binadamu mwenzio! Kama huna cha kuandika kaa kimya.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

    Unadhani unaowatumikia wanashukurani. Ngoja siku watakapokugeuka ndio utajua ubaya wa unafiki
  5. A

    JamiiForums Tanzania Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

    Kweli nimeamini! Mmeshajua kuwa watanzania ni wajinga.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mbinu za CHADEMA kuichafua serikali zimeshindwa

    Threads fake siku zote huwa ndefu sana!
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mmeshau hata Mwl Nyerere alishitakiwa kwa uchochezi na serikali ya mkoloni?

    Amekukera nini binafsi mbona kama una personal grudges?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Enough is enough, Magufuli amelisababishia taifa hili hasara ya kutosha kwa maamuzi ya kibabe!

    Lisu hana kesi, kinachofanyika ni kuwafanya watanzania wengi hata wajinga wajue kasoro za utendaji wa serikali
  9. A

    JamiiForums Tanzania Polisi waenda kupekua nyumbani kwa Mbunge Tundu Lissu

    Utasikia "Ni maagizo toka juu". Sasa sijui huko juu ni Mbinguni au dalini??!!!
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Magufuli, Nimekasirika!

    Naamini hujaandika kwa niaba ya Watanzania. Ni kwa niaba ya familia na chama chako.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Dkt. Mashinji (Katibu Mkuu wa CHADEMA) na Viongozi 8, watakaa Korokoroni Polisi kwa saa 48

    Tusitafutiane ban humu JF kwa post kama hizi. Chagua neno mabaya ujitukane mweneyewe kwa kutotumia hekima na akili uliyopewa bure na Mwenyezi Mungu!
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya serikali kutaifisha IPTL na Pesa ya Manji

    Statement kama hizi hutolewa baada ya kukosa hoja
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya serikali kutaifisha IPTL na Pesa ya Manji

    Acha kukurupuka. Jipe muda kusikiliza mitazamo tofauti na yako
  14. A

    JamiiForums Tanzania Anafikiri atatupumbaza kwa miundombinu tunayojenga kwa mikopo na kodi zetu?

    Unawaza tofauti na wazo la mleta mada. Umeangalia kishabiki ukapuuza uzalendo
  15. A

    JamiiForums Tanzania Anafikiri atatupumbaza kwa miundombinu tunayojenga kwa mikopo na kodi zetu?

    Wagonjwa wa akili mko wengi humu!!
Back
Top Bottom