Lisu hana kesi, kinachofanyika ni kuwafanya watanzania wengi hata wajinga wajue kasoro za utendaji wa serikaliUna points nzuri sana, sasa nenda kamtetee Lisu mahakamani.
Kuna vitu unachanganya hapa.Nilitaka nijibu swali hadi swali lakini nikaona jibu lako ni rahisi sana. Kuchoma nguru ili kuidhalilisha serikali yako ni kosa linalowatia jela wengi duniani.
Nilitoa mifano hapa kama wa Edward Snowden wa Marekani liyeeleza ukweli kuwa nchi yake inawadukua wananchi wake kinyume cha sheria. Leo hii amejificha Urusi na akirudi tu, lupango. Mwenzie Chelsea Manning keshatumikia kifungo chake.
Sasa Lissu afanywe nini, kwa maoni yako?
Kwa bavicha kweli hana kesi.Lisu hana kesi, kinachofanyika ni kuwafanya watanzania wengi hata wajinga wajue kasoro za utendaji wa serikali
Upuuzi huo jibu swali.Una ubongo kama wa kitimoto. mada imeanza toka asubuhi ndio unaiona sasa hivi? kabla hujaniuliza pitia post zote 280 za uzi huu uelewe halafu ndo uje
Kosa kubwa la Snowden ni kufichua kuwa serikali yake inawafanyia raia wake makosa. Hii sio kufichua classified info bali ni uzalendo wa kusema ukweli. Lakini hili pia serikali huliita kosa, kama kwa Lissu. Taarifa nyingi zinaitwa classified baada ya kufichuliwa.Kuna vitu unachanganya hapa.
1. Kuna whistle blower ambao baadhi ya nchi wamepewa haki ya kinga kisheria.
Hawa husema kile kisichotakiwa kusikika ingawa kina ukweli ndani yake
2. Espionage ambao hutumiwa sana kupata information za nchi nyingine mara nyingi za kijasusi
3. Classified information, ni habari ambazo hazitakiwi zifike machoni mwa umma isipokuwa kwa wahusika
Ikibidi kufika kwa umma hufanyiwa declassification
Snowden alichukua classified information na ukweli kuwa amejificha na kulindwa na Russia hiyo inachukuliwa kama ''espionage'. Snowden siyo whistle blower
Tundu Lissu hana chochote kati ya hivyo, alichofanya ni kuzungumzia nini kimetokea
Kampuni iliyokuwa inaidai Tanzania ilijua ina madai yake, ni ujinga na upuuzi kudhani hawakujua hadi mtu aende kuwaeleza wakati mkataba unavunjwa wao walikuwa waathirika wa gharama ab initio
Kusema Lissu amechoma nguru, ni ipi hiyo wakati wenye nguru walikuwa wanavizia?
Huwezi kusema amechoma nguru wakati wahusika walikuwa na hati ya mahakama.
Kinachofanyika ni kumfanya 'Lissu subject' ili kuondoa watu katika hoja halisi,ilikuwaje tukafika hapa
Nimejibu maswali mia humu, sina mda na huu mjadala tena. Kila kitu kina mwanzo na mwisho, kwa heri.Upuuzi huo jibu swali.
Ukiulizwa ni issue gani Lissu kaifichua kwa wadai ambayo walikuwa hawaijui utaweza kujibu kweli ama unakariri tu. Ni kitu gani wamekijua kutoka kwa Mh. Tundu Lissu ambacho hawakukijua? Au unataka kusema ni sisi Watanzania ndio hatukujua kuwa kuna watu wamefungua kesi wanaidai serikali?Kosa kubwa la Snowden ni kufichua kuwa serikali yake inawafanyia raia wake makosa. Hii sio kufichua classified info bali ni uzalendo wa kusema ukweli. Lakini hili pia serikali huliita kosa, kama kwa Lissu. Taarifa nyingi zinaitwa classified baada ya kufichuliwa.
Kwa Lissu ku-collude na mashirika ya nje kuidhalilisha TZ ni kosa linaloadhibika kama serikali itaamua.
Lissu kama mbunge ana avenues nyingi za kupata taarifa nyeti za serikali zinazoweza kuiweka mahala pabaya sana. Kumchekea huyu Lissu na nyie kumsifia is the highest form of betrayal to your country. Kama huu ndio mnaouita upinzani basi bado sana nyie for prime time.
Nyumbani tupingane lakini nchi inapokabiliana na nguvu za nje tunapaswa ku-close ranks na kuwa kitu kimoja. Sasa kama Watanzania wenyewe na isitoshe kiongozi wa umma kama Lissu ndio wanaoiuza nchi yetu kwa maadui wa nje, sisi ni watu gani?
Ningekuwa na mamlaka ningemhifadhi Lissu mahala salama kwa muda mrefu sana. Huwezi kuwa vitani halafu askari wako mwenyewe wanakuchoma visu mgongoni. Watu kama nyie mnaouita huu upinzani na kuushabikia are equally culpable of this treachery.
Magufuli is trying to right the many wrongs that had afflicted this country. Anachokifanya sasa ndio kilichokuwa kilio cha wapinzani hapo nyuma. Leo hii nyie nyie ndio mnaomgeuka na kutaka kumhujumu. You are useless. Do you think Lowassa would have achieved even 10% of what Magufuli has managed to do.
I usually treat these kinds of topics with civility and kid's gloves but I have had it with this calibre of opposition.
Why don't you just keep quiet and wait for 2020? Magufuli has won the election, let him do his shtick. If the populace is as disgusted with his leadership as you are (I doubt it) then they will unseat him come 2020. You sing democracy but don't practice it inside as well as outside your parties. Kila siku mnalalama kuwa Magufuli hafuati ushauri wenu. Kwa nini iwe shurti afuate ushauri wenu. Who won the last elections. Stop this bickering and let the man work.
Sent using Jamii Forums mobile app
Swala sio kama tunadaiwa au la. Tatizo ni namna Lissu alivyohusika kupelekea kuzuiwa kwa ndege. Amekamatwa na polisi si ndio? Kwa nini?Ukiulizwa ni issue gani Lissu kaifichua kwa wadai ambayo walikuwa hawaijui utaweza kujibu kweli ama unakariri tu. Ni kitu gani wamekijua kutoka kwa Mh. Tundu Lissu ambacho hawakukijua? Au unataka kusema ni sisi Watanzania ndio hatukujua kuwa kuna watu wamefungua kesi wanaidai serikali?
Nikupe mfano.Mbona habari za hukumu zilijulikana siku nyingi tu kwa Watanzania wengi tu. Je hivi leo mtu akiingia mtandaoni hawezi kuzipata habari za Stirling Civil Engineering Ltd kuidai serikali ya Tanzania na akizikuta? Je kuna sheria inayokataza kuziongelea hizo habari?
Hilo moja lakini labda kitu ambacho serikali haikutaka ni habari za ndege yetu kukamatwa Canada...swali ni je habari kama hiyo ni siri? Kama ni siri, ni kwa nani? Mbona habari za kukamatwa kwa mali za nchi katika kesi za madai ni nyingi tu na huchapishwa mitandaoni?
Hivi, baada ya Lissu na Zitto kuutangazia ulimwengu kwa mbwembwe na bashasha kuhusu ndege iliokamatwa, ni manufaa gani tuliyopata Watanzania zaidi ya kuidhalilisha serikali?Mbona hata Tanzania inapokamata mali za watu, makampuni na mataifa inayoyadai habari zake kutangazwa na kuandikwa kwenye magazeti? Hebu tuache kuzungukazunguka, narudia tena hii siri ambayo serikali inadai ni ya nchi aliyotoa Mh. Tundu Lissu ni ipi?
Kama kawaida serikali ilikurupuka na kukimbilia kutaka kumpakazia Shukuru Kawambwa kwamba ndiye alikuwa mhusika mkataba ulipovunjwa! Bila shaka hizi zilikuwa ni jitihada za kutaka kumsafisha mhusika ambaye kwa sasa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano, John Magufuli.
Kwa bahati bado tuko wazalendo wenye kumbukumbu ambao hatuwezi kukaa kimya na kuiachia serikali kupotosha mambo ambayo wakati yanafanyika tulikuwepo. Nakumbuka tamko la kwanza lilimtaka Mh. Tundu Lissu kuomba radhi eti kwa kusema uongo kumsingizia Magufuli!
Hila za serikali zilipoanikwa kwa wananchi wakaamua kumkamata mwananchi mzalendo, Mh. Tundu Lissu eti kwa tuhuma za kutaja makosa ya binadamu moja asiyekosea, John Pombe Magufuli. Tafadhali sana [B]Kifyatu[/B], jaribu kuwa hata na kauzalendo ka kulipenda taifa lako.
Hivi, baada ya Lissu na Zitto kuutangazia ulimwengu kwa mbwembwe na bashasha kuhusu ndege iliokamatwa, ni manufaa gani tuliyopata Watanzania zaidi ya kuidhalilisha serikali?
Hii ni nchi yenye kuzingatia haki, usawa, wajibu na sheria. Kama mnawatetea hao makandarasi anzisheni nchi yenu wawafanyie kazi. kama mnatetea wezi wa raslimali katika bahari yetu na nyie ni wezi tu. kama mnatetea mabepari wanaoiba madini yetu hamieni kwao.
Kama mtu haridhiki na serikali ahame nchi, atuachie sisi wazalendo.
NCHI ni ARDHI, WATU wake, na UONGOZI wake (au serikali na katiba yao). Unaposema unatetea nchi wewe una maana gani? Kwako wewe NCHI ni nini? Nchi haijumuishi serikali?Kumbe unatetea serikali na viongozi hutetei nchi. Nadhani hapa ndipo kuna tatizo. Yaani mtu akitaja mapungufu ya serikali kaidhalilisha nchi! Hivi unajisikiaje viongozi wanaponeemeka huku nchi ikiangamia? Unajisikiaje kiongozi anapochukua maamuzi yanayoiangamiza nchi? Kiongozi anayeitia nchi hasara aachwe tu kwa sababu ni Rais? Tutakuwa si wazalendo kama tutafumbia macho vitendo vya Rais huku anakotupeleka kama taifa si salama.
Sasa unashauri vipi? Tuwe na mapinduzi ya serikali kabla ya 2020. Why are you upinzani such poor losers?Viongozi huja na kuondoka lakini nchi hubaki pale pale. Jiulize hayo maswali na utajua ninaongelea nini...
Hivi unajua Katiba ya nchi ndiyo msingi wa Taifa? Je unajua kwamba Kiongozi huingia madarakani kupitia Katiba ya nchi na huapa kuihifadhi, kuilinda na kuitetea Katiba? Je kiongozi asiyeheshimu Katiba tumueleweje? Kumbuka kwamba ingawa hapa tunaoongelea hasara zilizotokana na madeni lakini pia yako matatizo mengi tumeingia kama taifa kwa maamuzi ya kukurupuka ya Kiongozi wetu bila kufuata taratibu.
Lissu hamtamuweza kamweUna points nzuri sana, sasa nenda kamtetee Lisu mahakamani.
Kwanza naomba tuelewane, mimi nimeanza kuipinga CCM kabla ya vyama vingi kwa sababu naamini adui wa taifa hili ni CCM. Ingawa naunga mkono juhudi zote pamoja na harakati zote za kuiondoa CCM, sijawahi kujiunga na chama chochote cha siasa ikiwa ni pamoja na CCM yenyewe. Yawezekana kwako wewe ni vigumu kuamini hilo lakini ndio ukweli wenyewe.NCHI ni ARDHI, WATU wake, na UONGOZI wake (au serikali na katiba yao). Unaposema unatetea nchi wewe una maana gani? Kwako wewe NCHI ni nini? Nchi haijumuishi serikali?
Kama kiongozi anaitia hasara nchi yake basi ataondolewa kufuatia katiba na misingi ya kidemokrasia. Nyie hamtaki hivyo. Kwenu nyie kama Rais haongozi mnavyota basi hafai kwenu na aondoke. Hii ndio demokrasia mnayoinadi?
Sasa unashauri vipi? Tuwe na mapinduzi ya serikali kabla ya 2020. Why are you upinzani such poor losers?
Tieni juhudi zenu katika kujenga demokrasia ndani ya vyama vyenu kwanza ili muwe imara zifikapo chaguzi zijazo. Leo nyie mmekalia kusaka ubuyu tu ili kuitia serikali fedheha. Mnadhani huu ndio mkakati wa kushinda uchaguzi.
Where is the CDM I used to admire? Yani wakina Lowassa na Sumaye wamewasambaratisha kihivi? You really look and sound pathetic. I truly hope mtajikwamua.
This is so sad!