Wahenga wa buza tunasema,,,hahahah,,,Ukitaka cha uvunguni sharti uchutame shekhe wanguuuu,,,,,cha mtu huliwa na mtu na chuma huliwa na kutuu.Mujikaze tu jamani kila mtu ashinde mechi zake nasikia buza kuna gereza jipya hukoo,,,,,,,,,hivyo ball litembee