Recent content by afrolife

  1. afrolife

    Prof. Kabudi hafai kuwa mkuu wa mazungumzo ya makinikia

    mtoa mada ametumia lugha angavu tu kuwasilisha hoja yake, kwann wewe unamjibu kwa kejeli na kashfa?? Hilo linaonyesha hauko makini na umejawa mihemuko. Mleta mada una hoja, binafsi nimekuelewa. Wenye dhamana watachuja na kuchukua yanayofaa. Endelea kuipenda na kuitetea nchi yako.
  2. afrolife

    Ukonga: Mwanamke mmoja atuhumiwa uchawi baada ya kuonekana akiwa katikati ya barabara amekalia ungo

    Watu kazini. Political "hot issue" diversion. TAL kwann unatusumbua hivi??
  3. afrolife

    TTCL waja na TTCL pesa, nawapongeza kwa hatua hii

    Hii platform nasikia wamepigwa hela ndefu haswaa!! Mungu awasaidie isimame!!
  4. afrolife

    SPECIAL THREAD: Kufungwa kwa vituo vya mafuta nchini kwa kutokuwa na mashine za EFD

    Mkuu sijakusoma, tuliache kwamba wafanyabiashara ya mafuta wasiwe regulated na EFDs au tuliache kwamba serikali isi enforce ulipaji wa kodi??
  5. afrolife

    SPECIAL THREAD: Kufungwa kwa vituo vya mafuta nchini kwa kutokuwa na mashine za EFD

    Sijui hata kama unauelewa mdogo tu wa biashara, lkn principle ndogo tu kiuhasibu/kibiashara ni kwamba hauwezi claim/dai mapato kwa Huduma ambayo haujaitoa!! Unawezaje hesabu faida kwa Huduma ambayo bado unadaiwa?? Sasa kama Huduma bado haujatoa, unawezaje pia itoza kodi?? Sidhani kama ni wazo...
  6. afrolife

    SPECIAL THREAD: Kufungwa kwa vituo vya mafuta nchini kwa kutokuwa na mashine za EFD

    Sasa kwann hawakusanyi?? Kama hawakudanyi maana yake wanaiibia serikali (nchi) mapato sababu mlaji wa mwisho anaendelea tu kulipa VAT lakini wao hawapeleki TRA/serikalini makusanyo sahihi. Sasa unaanzaje kutetea ukwepaji kodi?? Sidhani kama ni afya sana kutetea watu kama hawa. Ni ngumu lkn...
  7. afrolife

    SPECIAL THREAD: Kufungwa kwa vituo vya mafuta nchini kwa kutokuwa na mashine za EFD

    Ukweli ni kwamba kuna ukwepaji mkubwa sana wa kodi katika fuel reselling. Kituo kisipotoa EFD receipts, TRA inawezaje thibitisha actual/gross sales za hiko kituo?? Ni ngumu sana, na hivyo tax revenue accuracy inakuwa ni underrated/underestimated figures. Game limebadilika, waarabu mmetajirika...
  8. afrolife

    SPECIAL THREAD: Kufungwa kwa vituo vya mafuta nchini kwa kutokuwa na mashine za EFD

    Nijuavyo mm pamoja sina uelewa sana, ila kodi (VAT) inatozwa kwa mlaji wa mwisho (consumers). Sasa hilo wazo lako sijui litakuwa applied vp, ila simply its against taxation laws. Naweza rekebishwa pia.
  9. afrolife

    Mlima Kitonga vs Mlima Sekenke, upi mkali?

    Nimepita kitonga mara kadhaa, ila Ndororo ni nyoko aisee, wengi hawaujui sababu hawajaupita. Ndororo mm naiogopa wakati wa kushuka ukiwa upande wa korongo, mmh hapana aisee. Kabla sijapandisha au kushuka ile kitu lazima maombi yahusike kwanza.
  10. afrolife

    Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Hii song ni majibu ya IF ya Davido? Naona pia ametembea kwenye beats + style za Tekno. Kajitahidi sana, but its not a killer song!
  11. afrolife

    Halima Mdee aishiwa nguvu, tangu afikishwe Polisi Oysterbay aligoma kula

    Halima ni mbunge mzuri ila she is too emotional!! Ni mtu ambaye hapendi kuonewa, na bahati mbaya CCM wameshawasoma, wanawa provoke makusudi waki react wanawapiga pini ndani na nje ya bunge. Ukifuatilia spinning ya tukio la Shonza na Kubenea et al, na la Ally Hapi na Halima, unaweza soma...
  12. afrolife

    Sirro: Wananchi wa Kibiti itabidi wajilinde pia wenyewe, Kibiti hakupitiki hata kwa pikipiki

    Kiongozi unge stick kwenye hoja moja mjadala ungekuwa mzuri, lkn sasa umedandia mada nyingi sana na napata wakati mgumu kukujibu. Lakini naheshimu hoja na muda wako, labda nikirudi kwenye mada nikuulize, bila hao "chai" kuwepo wewe unaweza ukalala usingizi?
  13. afrolife

    Goodluck Mlinga: Mnyika kavunja kanuni kuvaa nguo za Trafiki Bungeni

    Mkuu wananchi wa kule ni wavumilivu sana, ni watu ambao walishajenga imani kubwa sana na chama kihistoria, lkn idadi hiyo ya wazee inapukutika kwa kasi na sasa kuna asilimia kubwa ya wapiga kura vijana, wote tunaelewa kifuatacho. Masika ya juzi hapa palikuwa hapapitiki vizuri kule, barabara ni...
Back
Top Bottom