Recent content by afrodenzi

  1. afrodenzi

    Watanzania haswa vijana tusiwe "brain washed" na Mange Kimambi na wenzake huko ulaya, usitumike, mlinde mtanzania mwenzako, ilinde nchi yako

    Kila Mtanzania anahaki ya kufanya maandamano Tanzania. Tatizo ni kwamba haki za Watanzania zinavurugwa na kuzuiliwa na hii serikali kila mara. Na hii serikali inadhani iko juu ya sheria ya nchi, haki ya kupiga kura, haki ya kuandamana, haki ya kuongea huru etc ... Tatizo sio Mange au Watanzania...
  2. afrodenzi

    GE2025 Amnesty Kenya yatangaza kufungua kesi dhidi ya Tanzania Mahakama ya Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika (AU)

    Kila lakheri Wakenya, hopefully hii serikali ya magaidi itawasikiliza.
  3. afrodenzi

    Uchaguzi wa Marekani ni uthibitisho wa Ubaguzi hautoisha duniani

    Si dhani ni ubaguzi. Trump kapigania huu uchazi sana na alichaguliwa na chama chake ku shindania urais. Kamala alipewe tu hicho cheo. Hakupitia nomination process, was undemocratic.
  4. afrodenzi

    Kemi Badenock Mdada wa Kiingereza ambaye Wazazi wake walitokea Nigeria aweka Historia kuwa Mwafrika wa Kwanza Kuongoza Chama cha Conservatives UK

    Wabongo majina Yao ya asili Hawayataki Kikosi Nyangema anataka aitwe 2pac. ( Professor J- machozi, Jasho na dame)
  5. afrodenzi

    Jaydee anastahili heshima lakini asipewe sifa za uongo

    Siweema usinipeee matesoo ya moyooo.....
  6. afrodenzi

    Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

    Naingia huku kwa wizi, majukumu yamezidi. 😊
  7. afrodenzi

    Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

    Yes. I'm Christian. No, the Israel are predominately Jewish and Palestinians are Muslims and Christians.
  8. afrodenzi

    Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

    Israel has been at war with Palestinians since 1948, the year of the founding of the modern day state of Israel. The Palestinians have been living under colonial occupation since 1948 and effectively at war since then. Gaza is a concentration camp created by the Zionist states and now they're...
  9. afrodenzi

    Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

    Jesus wouldn't approve of what these Zionist savages are doing, it's against Christian values. They don't care if they are killing Christian or Muslims. We are all scum to them.
  10. afrodenzi

    Kwa mnaoeneza uzushi dhidi ya kijana wa Kitanzania aliyeuawa na Hamas

    Nyani Ngabu (NN)my dear, I hope you're having a good laugh . naona umefanya watu humu wameanza kuongelea siri zao za ndani.
  11. afrodenzi

    Kisa Chid Benz, bifu la Lady Jaydee na Ray C laibuka upyaaaaaa

    Mi nipo Kaveli. Heri ya mwaka mpya :-)
  12. afrodenzi

    Kisa Chid Benz, bifu la Lady Jaydee na Ray C laibuka upyaaaaaa

    Duhhh wote hawa walituburudisha mno kipindi kileee. Na hisi mmoja wao atatoa nyimbo mpya soon. hii ni njia mmoja wapo tu ya watu kuwaongelea.
Back
Top Bottom