Recent content by AFRIKAN GUY

  1. A

    JamiiForums Tanzania Sheikh Walid alhad Omar hana upande

    If you don't get it forget about it.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Sheikh Walid alhad Omar hana upande

    So what??
  3. A

    JamiiForums Tanzania Sheikh Walid alhad Omar hana upande

    Ndioo aise
  4. A

    JamiiForums Tanzania Sheikh Walid alhad Omar hana upande

    Mfano??
  5. A

    JamiiForums Tanzania Sheikh Walid alhad Omar hana upande

    Katika Moja ya kazi zangu za muda mrefu ni kutengeneza maudhui ya YouTube. Miaka ya hivi karibuni nilianza kuvutiwa na mihadhara ya kiislamu, Kwa hivyo nikaanza kufanya YouTube content za kiislamu. Kiukweli nilia navutiwa sana na style ya sheikh Walid Omar. Na baadhi ya masheikh kama...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Maisha ya shule za dini kiislamu

    Infact nmependa wanavyo ishi, wamet Nimegusa ardhi hatar kuongelea uislamu. Lkn sina chuki yyte juu ya uislamu. Shida Sio shule, shida ni mzazi. Lkn shida hio inapatikana shuleni.
  7. A

    JamiiForums Tanzania BABA YANGU NOMA.

    Hata kama hela hana Ndio hospital ..?? Naamn mzee alitaka kuwafundsha kitu
  8. A

    JamiiForums Tanzania BABA YANGU NOMA.

    Familia za kimasikini Ndio hua hivi... Umaskini wa kifikra ukichanganya na wakifedha ni bonge la bomu.
  9. A

    JamiiForums Tanzania BABA YANGU NOMA.

    Taaarifa mpya kwangu.
  10. A

    JamiiForums Tanzania BABA YANGU NOMA.

    Sisi kwetu hakuna mwenye chake. Ikitokea mtu anasubiri dingi afe, basi ni kwasababu za kisiasa na Sito swala la mali.
  11. A

    JamiiForums Tanzania BABA YANGU NOMA.

    Ni either namfananisha na magu, au ni magu mwenyewe.
  12. A

    JamiiForums Tanzania BABA YANGU NOMA.

    Yes
  13. A

    JamiiForums Tanzania BABA YANGU NOMA.

    Sijaona mtu anaekaribia ukamilifu kama Baba yangu. Yaani yupo mbele ya muda saaana, Discipline yake ni ya kimungu sana. Yaani ni kama kajiandaa Kwa Kila kitu, magonjwa, ukame, Kila tukio katika maisha Yake. Kuna vitu anaweza fanya Leo mkasema Sasa hio for what. Mtaelewa Miaka mitatu minne...
  14. A

    JamiiForums Tanzania AI ndi mwisho wetu kama watu

    sayansi na imani huwezi kuzitenganisha.
  15. A

    JamiiForums Tanzania AI ndi mwisho wetu kama watu

    Concerns zipo kila inapotokea tech mpya Inayotaka kureplace mtu. kwa sababu ulimwengu unajua roho iliyo nyuma ya gunduzi hizo, kwamba sioroho nzuri.
Back
Top Bottom