Recent content by africatuni

  1. africatuni

    Kwa Laki 5 naweza nikafungua Maabara?

    Maabara huwezi ukafungua kwenye kachumba,😂 kama duka la mangi.. ili upate kibali cha msajili wa maabara Tz lazima uwe na room zisizopungua 3, waiting area ya wagonjwa pamoja na reception, phlebotomy (eneo la kukusanya sampuli), analytical room (eneo la kuchakata sampuli). Unaweza kufanya...
  2. africatuni

    Nunua ardhi Dodoma leo, mji unakua kwa kasi sana na ardhi inazidi kupanda bei

    Nimekwama kwenye ujenzi, nataka kukamilisha mkuu.
  3. africatuni

    Plot4Sale Eneo linauzwa Dodoma mjini, sqm 833 wekeza katika ardhi utanishukuru baadae.

    Hellow hope everyone is good. Leo nawaletea fursa ya kuwekeza dodoma. Hakuna uwekezaji mzuri kama wa ardhi maana kila siku inapanda thamani ukilinganisha na kuhifadhi fedha bank. Dodoma ni mji ambao unakua kila siku ambao wapo huku wanaelewa. Na ardhi zinapanda bei kwa kasi sana, hivyo wakati...
  4. africatuni

    Nunua ardhi Dodoma leo, mji unakua kwa kasi sana na ardhi inazidi kupanda bei

    Hellow hope everyone is good. Leo nawaletea fursa ya kuwekeza dodoma. Hakuna uwekezaji mzuri kama wa ardhi maana kila siku inapanda thamani ukilinganisha na kuhifadhi fedha bank. Dodoma ni mji ambao unakua kila siku ambao wapo huku wanaelewa. Na ardhi zinapanda bei kwa kasi sana, hivyo wakati...
  5. africatuni

    7 natural laws of business

    Ukitaka ulinzi wa kiroho katika biashara yako na mali kuwa mwaminifu sanaa katika kutoa zaka kamili. Kuna siri kubwa sana katika utoaji wa zaka, I will recommend mkaangalie Interview youtube ya Dr.king'ori na Pastor T-mwangi about "How spiritual is Money" Malaki 3:10-11 [10]Leteni zaka kamili...
  6. africatuni

    Achana na UTT, unazijua "Mutual Funds" za sekta binafsi?

    Mbn kama ni mule mule tu.. apo annual percentage interest inakuja 13%
  7. africatuni

    Ushauri: Biashara gani ya kufanya kwa mtaji wa Tsh milioni 2

    Utaratibu ukoje mkuu wa kuipata bajaj.. lakini pia vigezo vinavyohitajika ni vp mbali na hivyo ulivyoainisha hapo juu? Je, ni lazima uanze na 1.5m ? CMPD ni nin?
  8. africatuni

    Namna ya kufanikiwa katika biashara zenye mitaji midogo. Kufikia hadi 66% profit per day

    Nafikiri ukisoma vizuri, kuna mahali nimeeleza kuwa nilitumia fridge ya nyumbani
  9. africatuni

    Mrejesho: Biashara ya Nyumba za Kupangisha Vs Nyumba za Kulala Wageni

    Very right! 👍, hela yake ikiwa rehani atatunza nyumba tu!
  10. africatuni

    Mrejesho: Biashara ya Nyumba za Kupangisha Vs Nyumba za Kulala Wageni

    Polee sana mkuu.. Biashara yoyote ile haikosi changamoto, ukisema lodge bila shaka wenye lodge wapo uku watatupa uzoefu ..usimamizi wa lodge ni mgumu sana. Alot of variables to handle. Changamoto ya wapangaji kutolipa kodi inatokana na kutokuwa na mfumo mzuri wa malipo. Usikubali mtu aishi...
  11. africatuni

    Nahitaji kijana wa kusimamia Play Station yangu Dodoma. Mshahara 100k

    Wapo wanaoweza, ukiona haikufai tulia.
Back
Top Bottom