Recent content by africaone

  1. A

    Watanzania Wakenya Wasiwasumbue

    Ni kweli kabisa. Watanzania wote tuungane kukabiliana na uhujumu wa wakenya. Tuwafungie na magari yao yanayoleta watalii.
  2. A

    Kuita watendaji wote Ikulu ni moja ya matumizi mbaya ya mali ya umma. It's primitive way of Governance

    Kweli Mkuu. Ndio maana maagizo ya JPM yanatekelezwa papo kwa papo kwa asilimia 100, mifano ni mingi: kuzuia rambo, serikali kuhamia Dodoma n.k.
  3. A

    Lowassa kurejea CCM: CHADEMA imepata penati dakika za lala salama!

    Cdm walijaribu kufuga kunguru. hahaha Sent using Jamii Forums mobile app
  4. A

    Bunge la Ujerumani: Serikali ya Tanzania inatakiwa kutafuta mbadala wa mabwawa kuzalisha Nishati ya Umeme

    Mbona wao hawajaacha viwanda vyao vinavyozalisha hewa ukaa carbon monoxide inayoharibu mazingira? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. A

    Zitto andika barua kwa majaji wote Jumuiya ya Madola kama ulivyofanya kwa maspika

    Muache, Mh. anafanya rehearsal ya kusimama mahakamani na jinsi ya kushitaki Sent using Jamii Forums mobile app
  6. A

    Uamuzi wa Spika kwa CAG katika jicho la Prof. Albert Venn Dicey

    Pole sana. Ukweli ni mchungu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. A

    Uamuzi wa Spika kwa CAG katika jicho la Prof. Albert Venn Dicey

    Hivi hawa wanaohoji uwezo wa Spika kumwita CAG kupata maelezo ya kile alichosema kuhusu Bunge wanajimbua kweli? Mbona kila siku hao ndio wanasema Bunge linaisimamia Serikali? Bunge likisimamia Serikali litatashindwaje kumsimamia CAG? CAG yupo Serikalini, si ndiyo? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. A

    Prof. Mark Mwandosya: Kikwete aliniteua kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu hadi 2020, leo Msekwa anachukua nafasi hiyo..

    Huyu mzee anataka dezo zote apewe yeye. JK alipomhifadhi pale ikulu kwa kipindi kirefu kama waziri bila wizara maalun alifarijika sana, na kila siku bungeni ilikuwa kumsema JK alivyo na roho ya malaika! Ila JK alipokuja na jina la JPM kwenye uteuzi wa mgombea, akabadirika ghafla: hii cyo sawa...
  9. A

    "Nipe Nigeria na Ghana ndani ya mwaka zitakuwa nchi za Dunia ya Kwanza".

    Nyani haoni kundule! After all, North Korea is grossly mismanaged. Matatizo kibao hasa vijijini kwao. Hata hivyo, kwa Tanzania kumpata rais JPM twaweza kuendelea kwa kasi zaidi kutokana na kupambana na mafisadi na wala rushwa.
  10. A

    Kinachoendelea huko Kusini sio ununuzi wa korosho ni unyama na unyang'anyi dhidi ya wakulima pamoja na wafanyabiashara wa ndani wa zao la korosho

    Mkuu, vyama vya ushirika ndio hao wa bei elekezi ya sh 1500 kupitia board yao.They are no better.
  11. A

    Kinachoendelea huko Kusini sio ununuzi wa korosho ni unyama na unyang'anyi dhidi ya wakulima pamoja na wafanyabiashara wa ndani wa zao la korosho

    Asante Mkuu kwa maelezo haya lakini bado siyo hasara kwa 7bu wakulima watalipwa 3300 kwa kilo wakati walanguzi waliwalipa pungufu, say 2600 kwa kilo. Hivyo, wakulima wanaweza wakitaka, kuwarudishia walanguzi hela hayo na wakulima wakabaki na faida ya 3300 - 2600 = sh 700 kwa kilo! Siyo haba. Ni...
  12. A

    Serikali inashindwa kucheza na akili za Mbowe tayari ameshaweka kwenye kona nyingine

    Kuruka dhamana ya mahakama ni sawa na kuingia chooni bila viatu
  13. A

    Mahakama yawafutia dhamana M/kiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko

    Tatizo ni yule aliyeandaa maandamano na kusababisha vifo vya raia wema. Tu deal na source of problem kuliko ku deal na outcome
Back
Top Bottom