Recent content by Africanior

  1. A

    JamiiForums Tanzania JK Tuambie Watanzania Siri ya kumng'ang'ania Mama J.Mbene kuwa N/Waziri?

    Heshima mbele wanajamvi, pamoja na kuwa Rais Ana mamlaka makubwa ya kuteua mawaziri, kama wengi mlivyosema, haangalii competence zaidi ya ku-personalize, tunaambiwa pia mgawanyo wa kimikoa n.k hivi mama Mbene ni nani hata JK amng'ang'anie hivi? Tumekuwa nae hapa Wizarani ya Fedha alipokuwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mbatia: Utoro wa Mawaziri Bungeni tuna Uchoko Uchoko fulani sisi Watanzania...

    Ha ha ha baadhi ya mawaziri wanajua wanabebwaa na jk, maringoo, dharauuu, kejeli, fitinaa halafu hawatoshiii-CCM wanakamianaa wao kwa wao-hay a yetuu macho-no ufanisi wowote usanii tu
  3. A

    JamiiForums Tanzania Picha: CCM chama kilichojaa wanafiki, kinachokosa uadilifu

    Ulicho ongea ni kweli! Hawataki kubadilika! Mtu akiongea ukweli kuwafunda Wana chukiia. Wanadhani bado wapo kwenye chama kimoja siyo kwenye vyama vya upinzani. Bado wana mawazo ya mwaka 47! Watendaji wao ndiyo Kabisa madalali wa pesa busy kuchafuana wao kwa wao Upinzani unapita kilaiiini! Na...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Great Thinkers wa JF

    kwa nn kamanda Mapi?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Great Thinkers wa JF

    hahaaa asante kamanda
  6. A

    JamiiForums Tanzania Nani mratibu wa huu upepo?

    Watanzania.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Lwakatare na Ubunge what is the connection ?

    Eti nn?
  8. A

    JamiiForums Tanzania WADADA wasiosema AHSANTE baada ya zawadi|::|WANAKATISHA TAMAA

    Kama hajaipenda ashukuru nn? Mnunulie gari uone kama hujashukuriwa ww.
  9. A

    JamiiForums Tanzania BAKWATA iliundwa na nani?

    Imeundwa na Waislam kwa msaada wa serikali
  10. A

    JamiiForums Tanzania Great Thinkers wa JF

    Salam kwenu wote. Nikaribisheni na mm nijisikie mmoja wenu.
Back
Top Bottom