Recent content by African Tycoon

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

    Hata mimi nakubaliana na hoja kwamba Ziwa Malawi au ziwa Nyasa kama sisi watanzania tunavyoliita, ni mali ya Malawi. Kwamujibu wa mkataba (Anglo- German agreement); ambao ndio mkataba/sheria mama juu ya mipaka yetu,Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi, mpaka hapo mazungumzo ya ujirani yatakopofanyika!
  2. A

    JamiiForums Tanzania Ni wapi Serikali inapokosea kwa hawa Ndugu zetu Waislamu?

    Tatizo kubwa kwa sasa ni Serikali chini ya rais Kikwete kuwa na muelekeo wa ki- dini. Ndiyo maana hata hao waislaam hawaogopi kufanya huo UJINGA!!
  3. A

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa+Mbowe+Zitto Kabwe CCM haiwezi kupona 2015!

    Watu hawa watatu; Dr Slaa, Mbowe na Zitto ni wanamageuzi wa kweli. Ingawa, nina wasiwasi na dhamira ya Mh Zitto Kabwe!
Back
Top Bottom