suala ni protocol misiba kama hiyo mheshimiwa huwa anawakilshwa hamkuona vifo vya wasnii wa marekan akina mike jacson, witney houston mbona obama hakuhudhuria alituma mwakilishi ata nao p power alikuwepo zitto ila ni utashi wa mtu kuhudhuria msiban
Jaman tusitake kupotosha umma kuwa wana mtwara hawataki gas kwenda dar wanachotaka wanufaike na gas hiyo kama ni kiwanda cha gas kijengwe mtwara na gas iende dar ikiwa imeishatengenezwa sio kwenda kama malighafi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.