Recent content by African Believer

  1. African Believer

    Miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar na Kitendawili cha John Okello

    Leo January 12, 2022 ni sikukuu ya kitaifa ijulikanayo kama Mapinduzi ya Zanzinar ikiwa ni miaka 58 toka mapinduzi hayo yafanyike January 12, 1964 ili kuuondoa utawala wa Kisultan uliokuwa chini ya waarabu kutoka Oman. Ikiwa imepita miongo mitano toka mapinduzi hayo yafanyike bado kumekuwa ni...
  2. African Believer

    Waziri Makamba ujue siyo kila kitu ni cha kubinafisisha

    Ubinafsishaji huongeza tija na ufanisi, wala hatuna haja ya kutia shaka kuhusu suala hilo.
  3. African Believer

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Inaonyesha kwenye huu uzi hakuna mhusika wa Vodacom, mbona malalamiko na maswali yetu hayapati majibu kwa wakati?
  4. African Believer

    BoT yatangaza Noti mpya

    Asante kwa chapisho la taarifa ya Bank Kuu
  5. African Believer

    BoT yatangaza Noti mpya

    Ndugu,wanajukwaa habari. Leo nimepokea pasipo kutambua noti ya shilingi elfu tano yenye muonekano mpya kidogo, yaani imepauka kiasi tofauti na ya awali pia mstari wake una muonekano tofauti kabisa na ule wa awali. Baada ya kukumbana na sintofahamu hiyo niliamua kuwasiliana na muuza duka wa...
  6. African Believer

    Hizi baa zinazopiga muziki kwa sauti kubwa mpaka usiku wa manane katika makazi ya ni kero kubwa

    Nilienda kupeleka malalamiko kwenye ofisi za serikali ya mtaa wangu na baadae kituo cha polisi katika mkoa husika.
  7. African Believer

    Hizi baa zinazopiga muziki kwa sauti kubwa mpaka usiku wa manane katika makazi ya ni kero kubwa

    Bahati mbaya aina za muziki unaopigwa kwenye baa hizo siyo aina ya ule unaoniburudisha.
  8. African Believer

    Hizi baa zinazopiga muziki kwa sauti kubwa mpaka usiku wa manane katika makazi ya ni kero kubwa

    Ukikereka na jambo lililo kinyume na utaratibu liripoti kwenye mamlaka husika.
  9. African Believer

    Hizi baa zinazopiga muziki kwa sauti kubwa mpaka usiku wa manane katika makazi ya ni kero kubwa

    Muziki kwa sauti ya kupitiliza ni uchafuzi wa mazingira na sio starehe.
  10. African Believer

    Hizi baa zinazopiga muziki kwa sauti kubwa mpaka usiku wa manane katika makazi ya ni kero kubwa

    Kwani pombe inapatikana kwenye baa pekee? Au, ni lazima baa zinazouza pombe zipige muziki kwa sauti kubwa usiku wa manane?
  11. African Believer

    Hizi baa zinazopiga muziki kwa sauti kubwa mpaka usiku wa manane katika makazi ya ni kero kubwa

    Imeshazoeleka, hivyo watu wanaivunja kana kwamba haipi. Na hapo tatuzo sio wao kuendelea kutoa huduma, bali ni kufungulia muziki kwa sauti ya juu wakati watu wakiwa wanatakiwa kulala.
Back
Top Bottom