Recent content by afri

  1. afri

    SOFTWARE Mfumo wa usimamizi wa biashara

    Hapana, mfumo ni "cloud storage" hivyo unahitaji internet.
  2. afri

    SOFTWARE Mfumo wa usimamizi wa biashara

    Utakuwezesha kufatilia kinachoendelea kwenye biashara yako hata ukiwa mbali nayo.
  3. afri

    Azimio la Arusha: Kwanini shule za Seminari hazikutaifishwa?

    Ni sawa na kuuliza kwanini serikali haikutaifisha madrasa! Seminary kazi yake kuandaa mapadre(japo sio wote wanakuwa mapadre). ile zile zilizokuwa na malengo ya elimu tu zilitaifishwa kama Nganza, Nsumba, Tosamaganga, Rugambwa na Pugu.
  4. afri

    Huenda Tanzania ikawa inauza data kwa bei ndogo kuliko nchi zote Afrika

    Je nguvu ya sarafu kimanunuzi inalingana? Mfano Marekani jana Biden kapandisha kiwango cha chini cha ujira kuwa $15 kwa saa piga mara masaa 40 kwa wiki uone mtu anaingiza $ ngapi afu uone kama mtanzania ana hicho kipato. So Mmarekani hata akinunua GB kwa $ 6 kwake bado ni cheap kulingana na...
  5. afri

    Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

    Pengine wewe si mkatoliki hivyo sio rahisi kuelewa umuhimu wa huduma na mwisho na namna binadamu anaeza ponyoka Moto hata sekunde ya mwisho kabisa. Habari za mbinguni si mambo ya CCM na Chadema
  6. afri

    Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

    Wewe ni nani hata uhukumu? Wamesema marehemu alipewa mpako wa mwisho(sakramenti pamba)
  7. afri

    Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

    Hiyo haikuwa Misa, hakukua na adhimisho la Ekaristi
  8. afri

    Uchaguzi 2020 Hebu tujadili ukweli wa mambo haya kuhusu idadi ya wapiga kura Uchaguzi 2020

    2015 walijiandikisha watu milioni 20 wakapiga kura milioni 15, kuongezeka watu milioni 9 ndani ya miaka mi5 sio ajabu.
  9. afri

    Tetesi: Kim Jong Un anapigania uhai wake kwenye Coma

    Ni miezi kadhaa tu walidai kafa siku chache badae akaibuka
  10. afri

    Uchaguzi 2020 Sijui Gwajima atatumia Sabuni gani ya 'Kuwatakatisha' Waislamu wa Kawe 'aliowadhihaki' na 'Wakatoliki' waliokwazika naye 'alipomshambulia' Pengo

    Pengo alisema tangu 2014 kuwa amebakiza miaka 5 kustaafu na kuteuliwa Ruwai'chi ni utaratibu wa kawaida wa kurithisha madaraka kikanisa hata Pengo mwenyewe kabla ya kuchukua madaraka Dar alianza kama mwandamizi mwaka 90.
  11. afri

    Uchaguzi 2020 Sijui Gwajima atatumia Sabuni gani ya 'Kuwatakatisha' Waislamu wa Kawe 'aliowadhihaki' na 'Wakatoliki' waliokwazika naye 'alipomshambulia' Pengo

    Watu mnaandika uongo sana. Pengo hakustaafishwa, Pengo alifikia umri halali wa kustaafu madaraka yake kama Askofu mkuu wa Dar. Si yeye tu hata Askofu wa Arusha na Sumbawanga nao wamestaafu kipindi hicho hicho.
  12. afri

    Uchaguzi 2020 Dodoma yazizima kwa Maandalizi ya Lissu kuchukua fomu 8.8.2020

    Niliotoa ni ushauri sio sheria, anaweza kuuchukua au kuuacha
  13. afri

    Diapers bora na bei fwololo jumla na rejareja.

    Bluebay Baby diapers,imara na bora zenye kumwezesha mtoto wako kuwa mkavu kwa saa 12. carton ina pc 5 na kila pc zipo diapers 25 kwa size kubwa yaani xlarge kilo 12 hadi 25, diapers 35 kwa size ya kati kilo 5 hadi 10 na diapers 40 kwa size ndogo kilo 3 hadi 6. Iwapo utachukua carton moja bei...
Back
Top Bottom