Recent content by afaika

  1. A

    Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

    Kura mie kwa lowasa.mti wenye matunda ndo mti utupiwao mawe
  2. A

    Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    We tumeangalia taarifa na lowasa alikuepo jukwaan maik zikawa mbovu.kesho saa tatu njoo uone shughuli upyaaa
  3. A

    DR. Magufuli atinga Monduli, atembelea kaburi la aliyekuwa waziri mkuu hayati Moringe Sokoine

    Kwel kabisa hawajatutendea haki maana hatujaona hadhira aliyokua anaongea nayo
  4. A

    Tanzania kuwa nchi ya kwanza Duniani kwa wagombea Urais kukimbia mdahalo.

    Au umesahau kikwete 2010 alienda au aligoma?angalia historia
  5. A

    Ama kweli uraisi mgumu,hadi watu wanapanda daladala- pinda

    Amesahau kujiita mtoto wa mkulima unaishi masaki
  6. A

    Polisi wazuia ziara ya Edward Lowassa, Kariakoo. Wapiga marufuku mgombea kupanda daladala

    Hii ishapangwa na mola sasa hata upambane vip mbinu zitaisha zote na kuweka slaa chini na kuungana na safari.lowasa n jembe la uhakika linaloweza kulima hata kwenye changarawe na kuisambaratisha na kuvuna kwa mtindo wa kuzama kina cha usawa wa udongo bora
  7. A

    Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    Hii n siasa n sawa na familia ya baba mama wawili utegemee kuna wazo jipya toka boma hizo mbili wakati mtawala ni mmoja.akiwa waziri walikua washauri wa rais kama baraza la mawaziri kwa nn haikushauriwa kipindi hicho yafanyike.sasa leo atavijenga kupitia wap?wakati boman n mlele.ikulu n taasisi...
  8. A

    Dr Slaa rudi ccm uwatetee maskini!

    We una vituko
  9. A

    RPC Morogoro akana polisi kutumia risasi za moto

    kama mkubwa wao aliweza kurupukia chizi kwa mauaji ya ulimboka,sembuse kukana hilo? police wamekua kama gari bovu hawafikirii hata kidogo kabla ya kutenda
  10. A

    Morogoro: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi, vurugu zaibuka!

    damu ya huyu kijana ni lazima iwatafune hawa policeccm na kamwe hawatatoka kimaisha.hivi police wanafikiri au n kama punda kwenda popote ili mradi tu mwongoza punda kampiga fimbo kushoto aende kulia?mwisho ndo unafika
  11. A

    Tamko la Ikulu juu ya tishio la kuuawa viongozi wa CHADEMA

    kwa serikali hii hatuna budi tusiiamin serikalli yetu
  12. A

    Tamko la Ikulu juu ya tishio la kuuawa viongozi wa CHADEMA

    wamebaki kua watu wa kukanusha tu haya mambo.ndo walichoaliriwa kufanya.
Back
Top Bottom