Recent content by adzile

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye atoa Tamko Maalum la CCM kuhusiana na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini

    nyamizi matusi hasira havina nafasi ktk kipindi ambacho wananchi wameamua kutoa somo kwa watawala nakushauri pokea hizo changamoto kaa chini tafakari nini kinaendelea hapa nchini
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye atoa Tamko Maalum la CCM kuhusiana na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini

    nape unamkumbuka waziri wa habari wa sadamu husein wakati marekani wanaipga iraq
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mama Tibaijuka hebu kuwa serious! Mbona unatufanya wote wajinga?

    SHULEyake sio ya watoto masikini ada ni sh 4000000 acha kudanganya watu
  4. A

    JamiiForums Tanzania Picha zinatisha: Yanayotokea Kiteto yanadhihirisha Tanzania haina Serikali

    chadema anzisheni maandamano kiteto ili polisi iamke usingizini
  5. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inatumia koti la UKAWA kujikongoja kisiasa

    ifwero hakuna sababu ya kujadili chama kincho pumulia maashine jadili ccm unatoa mapovu ya nini achana na chadema
  6. A

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamasika: UKAWA sawa na muunganiko wa Walevi

    namufahamu vizuri ni askofu mstaafu ambaye amekua akishutumiwa sana kwa kupenda ushirikina sana ndani ya kanisa pia ni askofu asiyejipenda ni mchafu wa roho na mwili ni ndugu na askofu mdegela
  7. A

    JamiiForums Tanzania Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

    ukijua bei itakusaidia nini
  8. A

    JamiiForums Tanzania Boss wa Home Shopping Centre 'apewa shavu' na Tanzania huko China

    kila zama na kitabu chake
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa: Katibu wa Wilaya na Mweka hazina wa CHADEMA wahamia CCM

    inaonyesha unaipenda sana chadema usiogope tuma maombi tukujadili unaweza rudi
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa: Katibu wa Wilaya na Mweka hazina wa CHADEMA wahamia CCM

    adui mwombee njaa kama mambo yapo kama unavyosema basi fanyeni sherehe huna sababu ya kutoa mapovu mke ulisha mtaliki unaumia nini
  11. A

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Nyerere wangu mimi!

    ndugu zzk unayaamini unayosema na kuyaandika ?
  12. A

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete: Muundo wa Serikali tatu ungemkejeli Baba wa Taifa, Mwl. Nyerere

    Acha ujinga Azimio la Arusha alilo asisi mwalimu mbona hamjalienzi msichague mambo ya kuenzi mafisadi wakubwa
  13. A

    JamiiForums Tanzania Aibu nyingine kwa CHADEMA

    yes tunataka mwenyekiti kama mbowe hapo nini cha ajabu hayo mambo binafsi RIJARI
Back
Top Bottom