Recent content by AdvocateMtetezi

  1. A

    JamiiForums Tanzania UVCCM wameandaa Mkutano wa kuvunja amani Mwembe Yanga leo Oktoba 10, 2015

    Nashukuru kwamba ujumbe wangu umekufikia! Ndio nimesema "Jeshi la Policy" kwani wewe unatakaje?
  2. A

    JamiiForums Tanzania UVCCM wameandaa Mkutano wa kuvunja amani Mwembe Yanga leo Oktoba 10, 2015

    Dogo una washwa eeh? Wewe huwa haunyi?
  3. A

    JamiiForums Tanzania Taarifa kutoka JWTZ kuhusu Jenerali Davis Mwamunyange

    Ukweli ukiwekwa wazi mtaziweka wapi sura zenu? Mwambieni Jenerali tunaomba arejee nyumbani aje kuhakikisha UKAWA hatuibiwi kura zetu!
  4. A

    JamiiForums Tanzania UVCCM wameandaa Mkutano wa kuvunja amani Mwembe Yanga leo Oktoba 10, 2015

    Kupita mkutano wa UVCCM unaofanyika muda huu hapo Mwembe Yanga, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Sadifa Juma amesisika akisema kupitia televisheni ya Star TV kuwa "Lowassa anatokwa na mikojo barabarani" hii ni kauli yenye lengo la kuvunja amani ya nchi. Ikumbukwe kuwa Lowassa anayeambiwa na UVCCM kuwa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Lowassa, Mbowe kupewa tuzo ya Amani Afrika

    Mbowe ni zaidi ya tuzo ya Amani, Mbowe ni kielelezo cha kukua kwa demokrasia barani Afrika.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa kizimbani, asomewa mashtaka

    CCM kwisha kabisa! Kazi ni kubambikiza kesi zisizo na kichwa wala miguu!
  7. A

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Mashujaa Moshi umetapika, Dr. Magufuli kuhutubia

    Wakuu hapa Moshi mkutano wa Magufuli umetia aibu kubwa sana, wamekusanya wanaCCM kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa wa kilimanjaro wamewapakia kwenye malori kama manamba!
  8. A

    JamiiForums Tanzania Sumbawanga: Mgombea Ubunge wa Kwela CHADEMA Daniel Ngogo apata ajali

    Kamanda pole sana
  9. A

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa atakuwa live Star TV, leo Oktoba 7, 2015 - saa tatu Usiku

    Dr.Slaa hana mvuto tena masikini
  10. A

    JamiiForums Tanzania Familia ya Gwajima yaja juu kwa udanganyifu wa Askofu Gwajima

    Mhh.... ninyi ni CCM hamna lolote, Gwajima hana ndugu anayeitwa Faustine, huu upuuzi mlioundakika pelekeni kwa wapuuzi wenzenu waliowatuma waambieni ngoma imegoma, waicheze wenyewe!
Back
Top Bottom