Recent content by Advocate Gwajima

  1. A

    Nikaribisheni

    Humu ndani kuna raha yake, kamwe hutajutia kujiunga na JF kwani kuna watu wa kila aina ! Kwa ufupi utajifunza mengi ila tu usiwe mwepesi wa hasira.
  2. A

    Rose Muhando ajiunga rasmi CCM

    Do you think it will help you ?
  3. A

    Rais Magufuli anabezwa na wachache wa ndani lakini kawatoa maneno watu maarufu duniani kama hawa hapa...

    Hahaaaa[emoji23] . Mkuu walau umefanikiwa kunichekesha. Sasa si uende tu mkuu ukamkamate tu kwani wewe si una mikono mkuu, sasa unanituma mimi kwa mkataba gani tena boss? Au wewe siyo Mtanzania mkuu? Au huna ushahidi? Kipi kati ya hayo mawili boss
  4. A

    Rais Magufuli anabezwa na wachache wa ndani lakini kawatoa maneno watu maarufu duniani kama hawa hapa...

    Wewe huna hata swali la kujibiwa hapa nawe umedandia hoja tu. Pambana na hali yako tu maana hakuna namna ingine mkuu
  5. A

    Rais Magufuli anabezwa na wachache wa ndani lakini kawatoa maneno watu maarufu duniani kama hawa hapa...

    Mkuu Eja one umenibariki sana. Hawa jamaa ni wa ajabu, maana huyo waliyemtangaza wao wenyewe kuwa ni fisadi hatari sasa wanageuka wanasema si fisadi maana hakuna aliyemshtaki. Halafu wanawabandika watu wengine ufisadi bila kushtaki mahakamani halafu wanataka sasa ulimwengu eti uamini hivyo...
  6. A

    Wanaompinga Rais ni mafisadi, wanao tetea ruzuku na wapiga dili

    Mkuu jibu hoja usipindishe. Wewe yawezekana ndiyo ulimpiga wewe
  7. A

    Rais Magufuli anabezwa na wachache wa ndani lakini kawatoa maneno watu maarufu duniani kama hawa hapa...

    Si unaona sasa hoja za kitoto Sasa si Ndiyo kama hii sasa Mkuu? Sasa hapo sasa Ndiyo umesema nn Sasa? Haya bwana maana uko kazini mkuu
  8. A

    Rais Magufuli anabezwa na wachache wa ndani lakini kawatoa maneno watu maarufu duniani kama hawa hapa...

    Sasa leo imetosha. Ngoja Sasa niendelee na KAZI TU. Maana wengine kuzua hoja humu nayo ni kazi. Nikishamaliza kazi zangu za leo sasa nitawapeleka watoto wakafanye Utalii wa ndani, wakaone mwendo kasi niwasimulie kabla ya hapo mfumo wa usafiri wa mafisadi ulivyokuwa. Kisha niwapitishie tazara...
  9. A

    Rais Magufuli anabezwa na wachache wa ndani lakini kawatoa maneno watu maarufu duniani kama hawa hapa...

    Hivi Mkuu akili yako leo imeamka Sawa kweli? Hivi unaposema kwa kujiamini serikali imempiga risasi huyu na yule! Hivi kwa nini usiende mahakamani? Mtu anaibiwa kuku tu anaenda mahakamani kudai haki yake, sasa wewe hebu mwaga hapa namba ya kesi yako? Umegeuza habari hii siasa na unaamini Ni...
  10. A

    Rais Magufuli anabezwa na wachache wa ndani lakini kawatoa maneno watu maarufu duniani kama hawa hapa...

    Wewe acha hoja za kufikirika Kama abunuwasi. Mtanzania gani maisha magumu? Pambana na hali yako. Mbona mshahara uko palepale tena unawahi tu na michango ya harusi kutwa watu wanachangia tu? Kata bajeti ya kadi za Harusi ulizokusanya bila utaratibu, kitchen party, uchakavu na mitindo wa kujaza...
  11. A

    Rais Magufuli anabezwa na wachache wa ndani lakini kawatoa maneno watu maarufu duniani kama hawa hapa...

    Wala hajabana demokrasia ya nchi bali amebana fursa za demokrasia zile ambazo zilikuwa zinawaneemesha wajanja wachache. Nyie ni wale mliokuwa mnafaidika na mismanagement ya demokrasia mkachekeleaaa mkajiingiza kwenye maisha ya gharama kubwa yasiyo halisia. Sasa kipenga cha kurudi kwenye mstari...
  12. A

    Rais Magufuli anabezwa na wachache wa ndani lakini kawatoa maneno watu maarufu duniani kama hawa hapa...

    Na baba mbaya kwa watoto na mke ni yule anayewahi kurudi nyumbani akaanza kuhoji uvivu wa mkewe na anavyozurura kwa mashoga na saloon kubadilisha mitindo ya nywele na watoto wanaokesha kwenye tv wakiangalia picha za teleseriali. Hapo utasikia Dingi mnoko bora asafiri tu. Na baba ukisikia Dingi...
  13. A

    Rais Magufuli anabezwa na wachache wa ndani lakini kawatoa maneno watu maarufu duniani kama hawa hapa...

    Mkuu kumbe ni hofu tu inakusumbua. Yaani unahangaishwa na hofu tu. Huo ni ugonjwa wako binafsi siyo wa Taifa. Halafu Mkuu hata mitume tunaowaabudu sana waliofanya dunia ya leo iwe ilivyo kiimani, kumbuka walikataliwa huko kwao. Hii ni kawaida. Mungu akujalie maisha marefu Ili tushuhudie...
Back
Top Bottom