Wanaompinga Rais ni mafisadi, wanao tetea ruzuku na wapiga dili

jaruri

jaruri

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2014
Messages
711
Likes
455
Points
80
jaruri

jaruri

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2014
711 455 80
Tanzania ina bahati ya kupata RAIS mzalendo na mwenye uthubutu wa kufanya maamuzi magumu tena kwa wakati
Wanao mpinga RAIS ni mafisadi,watetezi we mafisadi na wanaotetea RUZUKU za vyama vyao.
Kama mtanzania maskini una kila sababu ya kuwa pamoja na RAIS kwani RAIS anashughulika na shida zetu watanzania maskini.

Wakati watoto wa wanasiasa hata wa upinzani wakisoma shule za gharama kubwa,kuna watoto wa maskini hawakuwa hata na access katika shule za kata kwa kukosa karo,,RAIS kaingia kaleta elimu bure,,Leo nitamshangaa mtanzania maskini anaempinga RAIS,,huko upinzani waachieni wenyeviti na viongozi wengine waendelee kupiga debe kwani wao ndio wanao kula RUZUKU.

Wakati wananchi maskini wakiugua na kutibiwa katika hospitali za serikali,wao wakiugua hupelekwa nje ya nchi,,RAIS kwa kuthamini uhai wa watanzania aliamua kuondoa watumishi wasio na vyeti ili kuboresha huduma kwa kutolewa katika kiwango bora cha utaalamu,,fikiria ni watanzania wangapi wamepoteza maisha kwa kutibiwa na vilaza? Yote haya RAIS aliyafanya kwa manufaa ya mtanzania mnyonge asiekuwa na sauti,yeye ndio sauti yao.Hakika Watanzania maskini mkombozi wetu ni RAIS Magufuli

Wakati dawa hazipatikani hospital in wanasiasa wangeweza zinunua popote na kwa gharama yoyote,,RAIS aliamua kuiondoa hiyo kero kwa kujenga maduka ya dawa kila mkoa na kupiga vita wizi wa dawa za serikali,,yote haya ni kwa ajili ya uhai wa mtanzania maskini.

Nadhani nikiendelea kuweka orodha ya mema ya RAIS hata bahari igeuke kuwa wino,miti iwe kalamu na mbingu ziwe karatasi hakika sitaweza andika yote,,ni mengi mno.Itoshe tu kusema kuwa Rais Magufuli ni chaguo LA Mungu kuja kumkomboa mtanzania maskini.

Jaruri@0712207633
 
Halaiser

Halaiser

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Messages
589
Likes
556
Points
180
Age
50
Halaiser

Halaiser

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2014
589 556 180
Acha zako wewe kila kukicha mafisadi. Mara wezi wa rasilimali zetu. Kuwa mkweli wananchi wa maeneo mengine wabomolewe nyumba zao lkn wale ambao damu nzito kuliko maji kuwe na human face. Halikadhalika kwa wenye vyeti.
Na mkome kuwaita Watz wenzako masikini wakati nyote mnaishi kwa kutegemea kodi zao.

Suala lingine mnadai mnanunua dawa ili kuokoa maisha ya Watz. Vp kupigwa risasi Mh Lissu kuna jitihada zozote kutoka kwa Mh Rais kuhakikisha maisha ya Lissu yanarejea?
 
Mzee wa hat-trick

Mzee wa hat-trick

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2016
Messages
1,751
Likes
2,322
Points
280
Age
36
Mzee wa hat-trick

Mzee wa hat-trick

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2016
1,751 2,322 280
Tatizo lenu ni hilo tu. Yan mnataka KILA MTU ASEME "NDIO MZEE" hata kama jamaa yenu anakosea. Do you mean KILA ANACHOFANYA yupo right..!!?? Hata hili alilosema Mwanza kwamba wasibomolewe kwa sababu ndio waliompa kura nalo unalikubali na kumsifia..??? Au haulikubali ila unaogopa kuonekana fisadi na kutetea mafisadi na wezi kama ulivyosema kwny andiko lako...???

Acha upumbavu. Ni bora ukakaa kimya kuliko kuongea na kuonesha kiwango cha upumbavu na ujinga ulichonacho.
 
Kidume cha mbegu

Kidume cha mbegu

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2015
Messages
1,270
Likes
645
Points
280
Age
30
Kidume cha mbegu

Kidume cha mbegu

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2015
1,270 645 280

Muache tuu akili hana huyu
 
jaruri

jaruri

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2014
Messages
711
Likes
455
Points
80
jaruri

jaruri

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2014
711 455 80
Hakika matusi ni

Duh upumbavu tena?
 
Kidume cha mbegu

Kidume cha mbegu

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2015
Messages
1,270
Likes
645
Points
280
Age
30
Kidume cha mbegu

Kidume cha mbegu

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2015
1,270 645 280
Tanzania ina bahati ya kupata RAIS mzalendo na mwenye uthubutu wa kufanya maamuzi magumu tena kwa wakati
Wanao mpinga RAIS ni mafisadi,watetezi we mafisadi na wanaotetea RUZUKU za vyama vyao.
Kama mtanzania maskini una kila sababu ya kuwa pamoja na RAIS kwani RAIS anashughulika na shida zetu watanzania maskini.

Wakati watoto wa wanasiasa hata wa upinzani wakisoma shule za gharama kubwa,kuna watoto wa maskini hawakuwa hata na access katika shule za kata kwa kukosa karo,,RAIS kaingia kaleta elimu bure,,Leo nitamshangaa mtanzania maskini anaempinga RAIS,,huko upinzani waachieni wenyeviti na viongozi wengine waendelee kupiga debe kwani wao ndio wanao kula RUZUKU.

Wakati wananchi maskini wakiugua na kutibiwa katika hospitali za serikali,wao wakiugua hupelekwa nje ya nchi,,RAIS kwa kuthamini uhai wa watanzania aliamua kuondoa watumishi wasio na vyeti ili kuboresha huduma kwa kutolewa katika kiwango bora cha utaalamu,,fikiria ni watanzania wangapi wamepoteza maisha kwa kutibiwa na vilaza? Yote haya RAIS aliyafanya kwa manufaa ya mtanzania mnyonge asiekuwa na sauti,yeye ndio sauti yao.Hakika Watanzania maskini mkombozi wetu ni RAIS Magufuli

Wakati dawa hazipatikani hospital in wanasiasa wangeweza zinunua popote na kwa gharama yoyote,,RAIS aliamua kuiondoa hiyo kero kwa kujenga maduka ya dawa kila mkoa na kupiga vita wizi wa dawa za serikali,,yote haya ni kwa ajili ya uhai wa mtanzania maskini.

Nadhani nikiendelea kuweka orodha ya mema ya RAIS hata bahari igeuke kuwa wino,miti iwe kalamu na mbingu ziwe karatasi hakika sitaweza andika yote,,ni mengi mno.Itoshe tu kusema kuwa Rais Magufuli ni chaguo LA Mungu kuja kumkomboa mtanzania maskini.

Jaruri@0712207633
Aiiiiseee lijinga wewe sijui unawaza kwa kutumia nini
 
Mzee wa hat-trick

Mzee wa hat-trick

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2016
Messages
1,751
Likes
2,322
Points
280
Age
36
Mzee wa hat-trick

Mzee wa hat-trick

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2016
1,751 2,322 280
Nadhani ingekuwa poa sn vyama vyote vingefutwa ili tubaki na chama cha watoa rushwa ccm. Na juzi wenyewe mmejisema kwamba Nyalandu alitoa rushwa, hakushinda kwa kura halali Singida. Ila mlikaa kimya mpk ametoka
 
Mzee wa hat-trick

Mzee wa hat-trick

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2016
Messages
1,751
Likes
2,322
Points
280
Age
36
Mzee wa hat-trick

Mzee wa hat-trick

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2016
1,751 2,322 280
Nadhani Bashite nae siku akitoka CCM mtaongea tu kwamba "KWANZA JAMAA MWENYEWE HAKUWA NA VYETI", muache aende. Na najua mkuu wako atasema na kujisifu kwa kusafisha wasio na vyeti bashite akiondoka.
 
C

chige

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
8,091
Likes
15,307
Points
280
C

chige

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
8,091 15,307 280
Ukisikia uchumi unaporomoka
Sekta binafsi inapumulia mashine
Soko la Hisa linadorola
Mabenki yapo kwenye misuko suko
Utoaji wa mikopo ya biashara unashuka
Mikopo ya mabenki hailipiki
Deni la taifa linaendelea kupanda
Ajira serikalini hakuna
Hakuna nyongeza ya mishahara serikalini wala kupanda madaraja
Mali za serikali zinakamatwa ng'ambo (refer Bombardier)
Wanasiasa wanata kuuawa na wengine wakiwa hawajulikani waliko
Raia wanatekwa na kuteswa

Ukiona yote hayo na mengine kadhaa wa kadhaa kama hayo yanatamalaki nchini halafu bado ukakuta serikali inasifiwa basi fahamuni hayo ni matunda ya taifa kuzalisha idadi kubwa ya wajinga kama sio wapumbavu!!!

Hawa hawaoni hata aibu kuongea ujinga mbele ya halaiki kwa sababu wanafahamu kuna wajinga wenzao kibao watawaunga mkono!!

Na kwavile watu wenyewe ni wajinga hata ukijaribu kuwauliza, kama serikali inafanya vizuri kiasi hicho, kwanini mapungufu makubwa kiasi hicho kiuchumi hapo hayakuwapo na yanatokea sasa wakati kuna rais "bora" jibu lao always litaakisi akili yao kwamba hapo zamani "...kulikuwa na wapiga dili!"

Hawana ubavu wa kuelezea mambo kitaalamu zaidi ya kukimbilia kauli "...wapiga deal!"
 
issenye

issenye

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Messages
1,726
Likes
1,764
Points
280
Age
36
issenye

issenye

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2011
1,726 1,764 280
JITAHIDI KABLA YA JIONI UWE UMEPANDISHA NYUZI ZINGINE KAMA TATU KWANI BADO NAFASI YA UDC ZILIZO WAZI HAZIJAJAZWA
 
sblandes

sblandes

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2010
Messages
3,152
Likes
1,314
Points
280
sblandes

sblandes

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2010
3,152 1,314 280
Kila mtawala anaekuja anadai kuwasaidia maskini,kwanini tusimpate mtu wa kutokomeza umaskini.
Hivi umaskini ni mtaji wa kisiasa?Au ndio ukoloni mamboleo?
 
Sharif

Sharif

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2011
Messages
2,474
Likes
1,660
Points
280
Sharif

Sharif

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2011
2,474 1,660 280
wengine wanaompinga ni wale wasiounga mkono juhudi za kifisadi za kuhonga wawakilishi wa wananchi, wasiounga mkono ulipizaji visasi, chuki, maneno ya porojo kwa msomi mwenye phd pamoja na haya ya maiti zinazotupwa baharini na watanzania wanaopigwa risasi hadharani..
kumbe sijamaliza..
na wasiounga mkono wenye vyeti feki kupewa madaraka makubwa na kulindwa, wasiounga mkono uharibifu wa mashamba, uchomaji moto vifaranga hai, kutumia haki za wafanyakazi kuimarishia kanda ya mto..
mpwa kuwekwa karibu na kapu la ankara wakati hata TANIRODE alikua boya tu..
kula wake za watu..
matusi majukwaani..
watz kuvunjiwa nyumba zao bila fidia hata kwenye mazuio ya mahakama..
ngoja ninywe maji...
loading...
 
tongs

tongs

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Messages
543
Likes
928
Points
180
tongs

tongs

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2017
543 928 180
Ushauri wangu wa bure kwako jaruri , huu uzi wako ndo kipimo cha watanzania na maoni yao kuhusu Rais na utendaji wake
 
jaruri

jaruri

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2014
Messages
711
Likes
455
Points
80
jaruri

jaruri

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2014
711 455 80
Umaskini hauwezi isha,,hata bible inasema maskini watakuwepo siku zote
 
jaruri

jaruri

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2014
Messages
711
Likes
455
Points
80
jaruri

jaruri

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2014
711 455 80
Mtanzania yeyote maskini hawezi mpinga Rais,anafanya yaliyo kuwa mahitaji yetu maskini
 
M

Methusela Gwajima

Member
Joined
Oct 21, 2016
Messages
28
Likes
18
Points
5
Age
43
M

Methusela Gwajima

Member
Joined Oct 21, 2016
28 18 5
Acha zako wewe kila kukicha mafisadi. Mara wezi wa rasilimali zetu. Kuwa mkweli wananchi wa maeneo mengine wabomolewe nyumba zao lkn wale ambao damu nzito kuliko maji kuwe na human face. Halikadhalika kwa wenye vyeti.
Na mkome kuwaita Watz wenzako masikini wakati nyote mnaishi kwa kutegemea kodi zao.

Suala lingine mnadai mnanunua dawa ili kuokoa maisha ya Watz. Vp kupigwa risasi Mh Lissu kuna jitihada zozote kutoka kwa Mh Rais kuhakikisha maisha ya Lissu yanarejea?
Mkuu jibu hoja usipindishe. Wewe yawezekana ndiyo ulimpiga wewe
 
wamaukweli

wamaukweli

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Messages
901
Likes
1,024
Points
180
wamaukweli

wamaukweli

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2017
901 1,024 180
Tanzania ina bahati ya kupata RAIS mzalendo na mwenye uthubutu wa kufanya maamuzi magumu tena kwa wakati
Wanao mpinga RAIS ni mafisadi,watetezi we mafisadi na wanaotetea RUZUKU za vyama vyao.
Kama mtanzania maskini una kila sababu ya kuwa pamoja na RAIS kwani RAIS anashughulika na shida zetu watanzania maskini.

Wakati watoto wa wanasiasa hata wa upinzani wakisoma shule za gharama kubwa,kuna watoto wa maskini hawakuwa hata na access katika shule za kata kwa kukosa karo,,RAIS kaingia kaleta elimu bure,,Leo nitamshangaa mtanzania maskini anaempinga RAIS,,huko upinzani waachieni wenyeviti na viongozi wengine waendelee kupiga debe kwani wao ndio wanao kula RUZUKU.

Wakati wananchi maskini wakiugua na kutibiwa katika hospitali za serikali,wao wakiugua hupelekwa nje ya nchi,,RAIS kwa kuthamini uhai wa watanzania aliamua kuondoa watumishi wasio na vyeti ili kuboresha huduma kwa kutolewa katika kiwango bora cha utaalamu,,fikiria ni watanzania wangapi wamepoteza maisha kwa kutibiwa na vilaza? Yote haya RAIS aliyafanya kwa manufaa ya mtanzania mnyonge asiekuwa na sauti,yeye ndio sauti yao.Hakika Watanzania maskini mkombozi wetu ni RAIS Magufuli

Wakati dawa hazipatikani hospital in wanasiasa wangeweza zinunua popote na kwa gharama yoyote,,RAIS aliamua kuiondoa hiyo kero kwa kujenga maduka ya dawa kila mkoa na kupiga vita wizi wa dawa za serikali,,yote haya ni kwa ajili ya uhai wa mtanzania maskini.

Nadhani nikiendelea kuweka orodha ya mema ya RAIS hata bahari igeuke kuwa wino,miti iwe kalamu na mbingu ziwe karatasi hakika sitaweza andika yote,,ni mengi mno.Itoshe tu kusema kuwa Rais Magufuli ni chaguo LA Mungu kuja kumkomboa mtanzania maskini.

Jaruri@0712207633
Endelea kushikiwa akili PIMBI WEWE
 
M

mitigator

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
2,332
Likes
2,892
Points
280
Age
29
M

mitigator

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
2,332 2,892 280
Mtanzania yeyote maskini hawezi mpinga Rais,anafanya yaliyo kuwa mahitaji yetu maskini
We kabinti punguza kujiregeza!!!
 
M

mitigator

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
2,332
Likes
2,892
Points
280
Age
29
M

mitigator

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
2,332 2,892 280
Mtanzania yeyote maskini hawezi mpinga Rais,anafanya yaliyo kuwa mahitaji yetu maskini
We binti mrembo acha kujidhalilisha kwa nafasi ambazo utaziacha hapa dunia
 
Forum statistics

Threads 1,239,135
Members 476,412
Posts 29,343,766