Recent content by Adrian Rweyemamu

  1. Adrian Rweyemamu

    Mara: Magari manne kwenye Msafara wa Rais Magufuli yapata ajali

    Pole majeruhi wote. Bila shaka Rais wetu yuko salama
  2. Adrian Rweyemamu

    Kuanzia leo mimi sio muumini tena wa Kanisa Katoliki

    Kama huwezi kufuata taratibu na kanuni za kanisa ,lazima utajiondoa mwenyewe. Wengi wanaondoka na badae wanarudi wenyewe. Kanisa katoliki lina misingi yake. Kiukweli ni daraja zuri sana kutufikisha tunapotaka. Nimesali makanisa mengi sana lakini RC ni the best Church. Muombe Mungu akupe mafunuo take
  3. Adrian Rweyemamu

    Mkoa gani unafaa kwa kilimo 100%

    Ndugu,kilimo ni sayansi. Kabla ya kuchagua ni Mkoa gani unafaa yakupasa ujue lengo LA KULIMA mazao hayo Ni nini? Wateja wako ni akina Nani? Miundo mbinu ikoje? Gharama za uzalishaji ziko vipi? Mahitaji ya kilimo eg mbegu,mbolea,viuadudu,ardhi,utaalamu nk.
Back
Top Bottom