Mimi sijaona ubaya wa hilo swali. Yeye alitaka umthibitishie kuwa kweli huna kwa sababu yeye kwenye mind yake alikuomba akiwa na uhakika unayo coz ni mwisho wa mwezi. After all ilikuwa ni sms inawezekana aliuliza kiutani, labda mngekuwa mnaongea ungeskia tone yake then ungekuwa right kujudge.
hata mimi huwa nakereka sana aisee.. na kuna wale wanaofupisha maneno wanatoa konsonati za mwanzo za maneno hasa yanayoanzia na "H" kwa mfano akuna badala ya hakuna, aya badala ya haya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.