Recent content by adrew

  1. A

    Nafasi za kazi SELF MF

    Mimi Mch nina muumini wa kanisani kwangu Arusha. Kamaliza digree ya mathematical science UDM. Ni mwaminifu. Naomba nisaidie kumuulizia kazi. Ubarikiwe
  2. A

    Nafasi za kazi Vodashop Mlimani City - Vodashop Samora

    Mimi ni Mch nina mshirika Wangu kamaliza degree ya mathematical science UDM. Ni mwaminifu. Naomba unisaidie kumuulizia kazi. 0767 510 436
  3. A

    Nafasi za Kazi, Microfinance

    Mimi ni Mch wa arusha nina mshirika Wangu Kamaliza digree ya mathematical science UDOM Naomba msaada wa kazi. Hujituma na ni mwaminifu
  4. A

    Msaada wa Shamba la kununua Arusha

    Mch, Mollel Adrew. Ninalo Shamba ekari 1 yenye kunyweshewa bustani kwa kutumia Maji ya MTO Seliani. Lenye upana wa 18 kwa urefu wa 135, seliani ya juu kupitia mianzini au ngaramtoni wasiliana
  5. A

    Ng'ombe & batabukini wanauzwa

    Nauza turkeys (Bata mizinga) kanga, na Bukini (Bata misumeno) No ya shimu 0767 510 436
  6. A

    Natafuta bata aina ya Pekin

    Ninao wale weupe Bukini 170,000
Back
Top Bottom