Recent content by adooo

  1. adooo

    JamiiForums Tanzania Soda za kampuni ya Coca Cola si salama tena, angalia picha

    Hayo mafuta ya korie na kipande cha chips ndani usituzuge ungekuwa na nia njema ungepeleka tbs au mamlaka ya chakula wafanye kazi yao
  2. adooo

    JamiiForums Tanzania Expediting evolution

    Mawazo yake yalikuwa yakikale fikra zake zilikuwa fupi kama mwezi wa 2
  3. adooo

    JamiiForums Tanzania Expediting evolution

    Hii umeitolea wapi thibitisha!!
  4. adooo

    JamiiForums Tanzania Hivi unajua hili kuhusu ma' marais duniani

    Sijaona mantiki ya hii ktu hapa kwani ukipga picha na rais inakuwaje?
  5. adooo

    JamiiForums Tanzania Majambazi wamevamia mlimani city

    Hivi ukiwa huna uhakika na jambo flani ni lazima ulopoke? au umetoka ndotoni?
  6. adooo

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Usagara Kisesa yaanza kujengwa

    Ngoja tubone
  7. adooo

    JamiiForums Tanzania Shabiki wa Yanga anaye lialia hovyo

    Ni mbinu zake za kupunguza ukali wa njaa mjini wanasema mjini akili
  8. adooo

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu mtoto wa Clouds Tv Kijakazi anajielewa kweli ?

    Neno sahihi ni huko sio uko!!
  9. adooo

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu mtoto wa Clouds Tv Kijakazi anajielewa kweli ?

    ] Mmh yale yale kiswahili kukiandika tatizo uko badala ya huko!!!
  10. adooo

    JamiiForums Tanzania Remembering Precision Air vs Dr. Lwaitama

    Wakola waitu mshaija obakise bantu bona gera katoma ishunju ishozi mgana
  11. adooo

    JamiiForums Tanzania Niaje Swiss Pub Tabata ?

    Kaka me mpitaji tu wazawa wakiona hili swali lako wanaweza kutoa majibu sahihi
  12. adooo

    JamiiForums Tanzania Niaje Swiss Pub Tabata ?

    Oooh usiseme cha kizushi me niko mtwara bt kesho niko hapo moojiniii
  13. adooo

    JamiiForums Tanzania Niaje Swiss Pub Tabata ?

    Uko maeneo gan da don now
  14. adooo

    JamiiForums Tanzania Niaje Swiss Pub Tabata ?

    cjafahamu vzr kama kuna club au jisogeze italian japo pamepooooa siku hizi
Back
Top Bottom