Kanisa la kristu mfalme hapo pembeni wamenunua hilo eneo na kuvunjilia mbali hicho kiota cha maovu.., palikuwa pana-bang sana.., wengi tumepamic..., nenda Club 84 external sometimes...Nimerudi zangu toka SA kibiashara.
Nikasema nije kupata good tym Swiss Pub Tabata
...nakuta haipo !!! Pana magofu tu.
What happened ?
daahhhhh shitt
Sent from my iPhone using JamiiForums
I can feel ur pain brother.., kulikuwa hakuna sehemu tamu kama ile.., 4 sure..., belated R.I.P swiss pub Tabata...
I can feel ur pain brother.., kulikuwa hakuna sehemu tamu kama ile.., 4 sure..., belated R.I.P swiss pub Tabata...
Hahaha....ila just around that same road kuna chimbo zimechipukia...
Huwa nikipita pale panakuaga pamechangamka mno..! hivi kwani kuna club mule au ni pub tu ile...?Nenda camp barabara ya kwenda kimanga
cjafahamu vzr kama kuna club au jisogeze italian japo pamepooooa siku hizi
Uko maeneo gan da don now
Aisee..., nasikia ile gesi yenu imeshafikishwa hadi mikocheni kule kwa Mwinyi na Warioba kwa ajili ya kutumika majumbani.., hivi hata mnamajiko ya gesi huko mtwara..?!,Hhahahahah...!Oooh usiseme cha kizushi me niko mtwara bt kesho niko hapo moojiniii
Unakataa nini bwana..., we juzi tu umetoka nchumbiji.., any way karibu jiji la maraha lenye gesi ya kumwaga.., japo hatuna visima..! hahahahah..!!!Kaka me mpitaji tu wazawa wakiona hili swali lako wanaweza kutoa majibu sahihi
Huwa nikipita pale panakuaga pamechangamka mno..! hivi kwani kuna club mule au ni pub tu ile...?
Camp hakuna club ni pub tu ila bei za vinywaji zipo Chini kidogo.