Recent content by adolph5454

  1. A

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa kuni kwa bei ya jumla wanahitajika

    Kuna kampuni ambazo zinamiliki misitu na kama uko tayari nicheki nikuletee hadi dar.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nauza mashine ya kuranda na kuchana mbao

    Mkuu weka bei basi tufanye biashara
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wenye uhitaji wa mikopo ya haraka

    Mbeya huku Mbozi mnapatikana??? Naomba jibu mkuu dhamana zipo naitaji kama 2m only
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kupukuchua mahindi inatafutwa.

    Mkuu mi nnayo tena haina shida yoyote. Niko mbeya na ukweli mashine ina uwezo wa kupiga gunia 250 kwa siku. Inatumia engine ya diesel ya powertiller HP 20. Yaaani ukiwa na lita 5 za diesel unapiga gunia 70 - 80. Nauza kwa ajili ya shida ya ghafla.Bei ni 3 million japo maelewano yapo. Namba yangu...
  5. A

    JamiiForums Tanzania MACHINE KUBWA YA KUPUKUCHUA MAHINDI

    Ndugu wana jamii forum nauza machine kubwa ya kupukuchua mahindi. Ina uwezo wa kupiga gunia 250 kwa siku na inatumia engine ya diesel Horse power 20 ambayo nayo ipo hapohapo katika machine. Bei ni 3,000,000 maelewano yapo msiogope.Nna shida ya haraka ndio maana nauza. Namba zangu ni 0757-963690...
Back
Top Bottom