Nauza mashine ya kuranda na kuchana mbao

GOYA MNANDA

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
239
160
NAUZA MASHINE YA KURANDA YA UMEME INA LANDA INA TOBOA INA CHANA MBAO NA INAFANYA SOFT KWA WAKATI MMOJA MADE IN FINLAND IMETUMIKA MWAKA MMOJA NA KUNA MASHINE ZA KUREREZA MBAO na kutoboa mbao kwa mashine zipo dar kijichi zinauzwa kwa pamoja au moja moja
0683715151

1460471450154.jpg
1460471502348.jpg
1460471555708.jpg
1460471590337.jpg
1460471645959.jpg
 
Watanzania sijui tuna matatizo gani.

Unatangaza biashara, huweki bei, wadau wanaomba uwatajie bei wewe unakaa kimya.

Waindi/wachina wakiwa wanafanya biashara na zinawaendea vizuri mnabaki kuwaonea wivu.

Seriousness inahitajika kwenye biashara.
 
Back
Top Bottom