Recent content by Adolph Sendeu

  1. Adolph Sendeu

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Hakuna mtendaji kufunga ofisi leo ili watu wote waliochukua fomu waweze kuzirejesha. Hakuna uchaguzi duniani usio na figisu figisu

    Nachukia sana napoona kiongozi anayetolea mfano wauovu wa nchi nyingine. kwa hiyo kama watu wanauana kama Marekani nasi tuone ni la kawaida tuige kuuana?
  2. Adolph Sendeu

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Wagombea wote walioondolewa kwa kuonewa haki itatendeka na watarejeshwa kwenye uchaguzi

    Huu ujinga nani anaweza endekeza, who can waste time kukata rufaa, kesi hiyo uipeleke wapi waka this is arranged all over the country?
  3. Adolph Sendeu

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mambosasa: Mwandishi Erick Kabendera anahojiwa uraia wake

    wito halali hutolwaje? je kuna summons alipelekewa akakataa kusain au alisaini halafu akakataa kwenda>
  4. Adolph Sendeu

    JamiiForums Tanzania Ni Sahihi wanajeshi wetu kutumika kubeba pochi za Ma DC wetu ndio CCM Mpya?

    hata kamaa!!!!!!!
  5. Adolph Sendeu

    JamiiForums Tanzania TARIME, MARA: Mkutano wa Kampeni Kata ya Turwa wasambaratishwa kwa mabomu ya machozi

    Tumetoka wapi, tuko wapi na tunakwenda wapi kisiasa? Hivi wananchi hawaoni, hawasikii au hawaelewi ni nini kinachoendelea hapa nchini kwa sasa? Unaweza kuwanyanyasa watu fulani , mahali fulani kwa wakati fulani, Lakini kamwe hutaweza kuwanyanyasa watu wote, mahali pote ndani ya Tanzania kwa...
  6. Adolph Sendeu

    JamiiForums Tanzania Ubelgiji: Tundu Lissu aruhusiwa kutoka Hospitalini

    mmmmmmmh
  7. Adolph Sendeu

    JamiiForums Tanzania Serikali: Waraka ulioandikwa kwenda Kanisa la Kilutheri (KKKT) ni batili; Msajili wa vyama Wizarani asimamishwa kazi

    Watanzania wana Busara sana, swala la kujiongeza ni la muhimi sana, Hivi nikuulize, kama mnabishana na mdugu yako kuhusu kukarabati gari la baba yenu kulipaka rangi, wewe unataka nyeupe na yaya anataka damu ya mzee, ukamwona anakimbilia kushika panga kisa anataka kulipaka rangi ya damu ya mzee...
  8. Adolph Sendeu

    JamiiForums Tanzania Richard Kasesela na Mchungaji Peter Msigwa wararuana, kama Simba na Yanga

    Mtu akikurea mwonyeshe kakukera na maliza. saa ya kazi chapa kazi nae bila kinyongo. Sio unaweka hasira kifuani mpaka mnashindwa kufanya kazi pamoja. Mwambie ajue hupendi nini na kipi unapenda, sio unakuwa MNAFIKI!
  9. Adolph Sendeu

    JamiiForums Tanzania Richard Kasesela na Mchungaji Peter Msigwa wararuana, kama Simba na Yanga

    ku Kunyamaza ni cowerdness!
  10. Adolph Sendeu

    JamiiForums Tanzania Richard Kasesela na Mchungaji Peter Msigwa wararuana, kama Simba na Yanga

    hajalilia kutajwa cheo, bali amelelemikia tabia ya kumchafua wakati hayupo, na pia mbung wa viti maalumu hakustahili kuitwa mbunge
  11. Adolph Sendeu

    JamiiForums Tanzania Vinanda vinauzwa

    Naomba tuwasiliane, mimi nahitaji kinanda piga namba 0764801062
  12. Adolph Sendeu

    JamiiForums Tanzania NANI ANAYETAKIWA KUFANYA KAZI ZA MWENYEKITI WA MTAA ENDAPO HAYUPO AU ANAUMWA?

    Naomba kuuliza maswali kama ifuatavyo 1. Endapo mweyekiti wa mtaa anaumwa au amesafiri a) ni nani anatakiwa kufanya kazi zake na anapatikanaje na kwa sharia au kanuni ipi? b) Mhuri wa mwenyekiti anatakiwa auache au ukae kwa nani c) Nani ataongoza vikao vya halmashauri ya mtaa...
  13. Adolph Sendeu

    JamiiForums Tanzania Sheria ya ndoa: Haki na wajibu wa mume/mke katika ndoa

    Mka, Elimu hii ni nzuri sana sana isipokuwa naomba kuuliza mambo yafuatayo 1. Je ndoa haizungumzii kuhusu hali ya wanaotaka kufunga ndoa kabla ya ya kufunga ndoa? a)mwanamke kutokuwa bikra au kuwa ameshazaa na mtu mwingine kabla ya ndoa? b) sijui ni semeje labda na mwanaume...
  14. Adolph Sendeu

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mambosasa: Tunamtafuta Mbowe, pia tunawashikilia Askari 6 waliotumia silaha za moto kudhibiti waandamanaji

    R I P Akwilina, nenda, nenda, nenda Akwilina Mwanetu. Tunakuombea kwa Mungu akupokee, ukakae naye pembeni mwa kiti chake cha Enzi, ukamuulize, Je Tanzania ndiyo nchi yetu aliyotuahidi na kutupa? kama akikuitika ndiyo, teta nae Muulize, je? yanayofanyika sasa ameyaruhusu? kama siyo, Mwombe...
  15. Adolph Sendeu

    JamiiForums Tanzania Je, wajua majukumu ya Mwenyekiti wa mtaa?

    Madaraka na Majukumu ya Mkutano Mkuu wa Kijiji[hariri | hariri chanzo] Kusimamia na kuwajibisha watendaji. Kuweka taratibu za namna ya kuitisha vikao vya dharura. Kupitia Mkutano Mkuu Maalum wa uchaguzi kuwachagua Mwenyekiti wa kijiji na wajumbe wa halmashauri ya Kijiji. Kujaza nafasi za...
Back
Top Bottom