Recent content by Adolph Leonard

  1. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua sifa za Wamakonde na Wasambaa

    Wasambaa wakarimu sana wana moyo wa upendo
  2. A

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    1:34
  3. A

    JamiiForums Tanzania Je, ulimi ungekuwa na mfupa watu wasingekosea kutamka?

    Tueleze mdau kwa faida ya wengi.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Je, ulimi ungekuwa na mfupa watu wasingekosea kutamka?

    Swali la msingi sana, uwa vinakosea wakati mwengine, swali la kujiuliza imekuwaje kutumia kigezo cha ulimi kutokuwa na mfupa kuwa ndio sababu ya sisi kukosea matamshi?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Je, ulimi ungekuwa na mfupa watu wasingekosea kutamka?

    Wadau Habari za jumapili, Kwa miaka mingi sana huu msemo "Ulimi hauna mfupa" umekuwa ukitumika hususani pale mtu anapoteleza kuzungumza jambo, nimekuwa nikijiuliza aliyetunga msemo huu alikuwa anakusudia nini na endapo ulimi ungekuwa na mfupa; je, watu wasingekosea matamshi? Wataalamu mnaweza...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ambulance zetu na wahudumu wa chumba cha mahututi

    Yap maeneo ya Mwenge Sent using Jamii Forums mobile app
  7. A

    JamiiForums Tanzania Ambulance zetu na wahudumu wa chumba cha mahututi

    Waliwahi kunigonga hao madereva, alipita njia sio yake kukwepa foleni, kang'oa side mirror yangu, kanichuna na rangi, sitasahau hiyo siku. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mchanganyiko huu ni dawa ya haraka sana ya kuondoa mafua, kufungua kifua

    Lau ungepata ufahamu wa kuzitambua hizo dawa usinge andika maneno haya, na hakuna hapo dawa ata moja ambayo imetungwa kichwani mwangu, dawa zote hizo nimeelekezwa madukani, nenda kaulizie nina uhakika siku nyengine hauta andika comment kama hii ya kukatisha watu tamaa ya kusaidiana, ungetoa japo...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mchanganyiko huu ni dawa ya haraka sana ya kuondoa mafua, kufungua kifua

    Sio vizuri kila jambo ukaliwekea dhana mbaya, bahati mbaya mimi sio mfanya biashara,hivyo vitu vyote nimeelekeza vinapatikana madukani, na hakuna popote niliposema nauza ata kitu kimoja na kamwe sina hiyo interest, shukrani. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mchanganyiko huu ni dawa ya haraka sana ya kuondoa mafua, kufungua kifua

    Elfu 5 tu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mchanganyiko huu ni dawa ya haraka sana ya kuondoa mafua, kufungua kifua

    Nipo mbezi mdau, naona mbagala kipande kidogo labda ikitokea weekend nije huko nikuchukulie mdau. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mchanganyiko huu ni dawa ya haraka sana ya kuondoa mafua, kufungua kifua

    Ndio nilichemsha pamoja na hizo dawa nyengine Sent using Jamii Forums mobile app
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mchanganyiko huu ni dawa ya haraka sana ya kuondoa mafua, kufungua kifua

    Maelezo ya kuchanganya kitunguu Swaumu na vicks, niliyapata mtandaoni Kupitia mgonjwa anayesema alipona corona, ila habbat sawda na COGONI nilipata Kupitia mtaalamu wa dawa asili, so nikaona sio mbaya nikachanganya, na matokeo yake ikawa ni bora zaidi, Alhamdulillah. Sent using Jamii Forums...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mchanganyiko huu ni dawa ya haraka sana ya kuondoa mafua, kufungua kifua

    Huku ipo nyingi sana, kama utahitaji naweza kukusaidia kukununulia tu free ila Kopo dogo, useme tu upo wapi nione nawezaje kukutumia. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. A

    JamiiForums Tanzania Mchanganyiko huu ni dawa ya haraka sana ya kuondoa mafua, kufungua kifua

    Habbat sawda ni dawa ambayo waislamu wanaijua vizuri, mtume Muhammad (SAW) aliwahi nukuliwa akisema dawa hiyo inatibu maradhi yote isipokuwa kifo tu, so nikajalibu kuchanganya dawa nyengine zinazosaidia mfumo wa upumuaji,vicks, kitunguu Swaumu na COGONI, ili nipate matokeo Mazuri, na kwa hakika...
Back
Top Bottom