Nchi yetu Tanzania, ni fahari ya Watanzania,
Lazima tujue mipaka, na tusifanye mzaha,
Siasa iwe njia, njia ya kuleta ufanisi,
Lakini taaluma iheshimike, na isiburuzwe na siasa.
Uongozi bora ni lazima, hili halipingiki,
Lakini nafasi wapewe, walio na taaluma,
Wasiathiriwe na siasa, katika...