Star Times hao ndiyo wana shida kubwa mno maana hata ukiingiza vocha bado unaweza kutumia muda mrefu bila kuona kitu na wakati mwingine inakuwa ni kero maana unakuta unaangalia yenyewe inasonya tu hata raha ya kitumia inakuwa hakuna.
La kushangaza zaidi ukiwapigia simu wanakuambia kuwa...
Mimi kwa kweli hata kuisikia hiyo Startimes sitaki maana kwa kweli huduma zao haziridhishi kabisa,
just imagine mtu unalipia kama kawaida halafu unakatiwa huduma bila sababu yo yote na ukipiga simu kuwauliza unapata jibu( ready made response) kuwa wahudumu wetu wanahudumia wateja wengine na hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.