Recent content by adobe

  1. A

    Jerry Silaa: Watu wote wanaozungumza kwa kufoka kwenye suala la Mkataba wa DP World wamenunuliwa

    Wito kwa Serikali ni kwenda kasi kwenye kutekeleza ili watanzania waone manufaa. Tuone tani zinaongezeka, siku 5 za kusubiri nangani ifikie hadi siku 1, kushusha kontena iwe siku 1, kushusha mzigo kichere iwe maximum siku 2 hadi 3 na release iwe hadi saa 1. Hatukatai hayo ulosema hapo juu ila...
  2. A

    Jerry Silaa: Watu wote wanaozungumza kwa kufoka kwenye suala la Mkataba wa DP World wamenunuliwa

    Pamoja na kuwa sipingi Maamuzi ya Mama yetu Samiha ila siungi mkono majitu toka ndani ya bunge la Tulia atete hili swala kwa kuwa yote yale hayakuingia bungeni kihalali na always yako kule kujaza mitumbo yao tu, Huyu Jerry ni mshirika wa ubadirifu akiwa Meya
  3. A

    Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala(PhD) aitwa Polisi kutokana na maoni yake kuhusu bandari

    Sasa tuone mwisho wake, atashinda wakili au kilaza DPIT asiyejua hata kilochopo ktk vitendea kazi vyake vikuu GPO
  4. A

    Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM!

    Bado au keshatangazwa ?
  5. A

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Kama we hukuongezwa mshahara basi we ni marioo mvivu.
  6. A

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Kwa hiyo kanda ya ziwa pekee ndo wenye uchungu na rasilimali zetu eti ee
  7. A

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Sasa kwani huko umeenda kufanya research au maana hao watu unaosema umewakusanya vipi na kupata taarifa zao. Kama ulimsikia mmoja mkiwa kaunter usi generalize maana anaweza akawa ni CAF au NCCR mageuzi
  8. A

    Makonda katibu mkuu Ccm, Ally Happy Mwenezi,Ole Sabaya Makamu Mwenyekiti Bara this is a new Ccm, hii SAWA na kinana, Nape na Makamba?

    Tumia akili yako binafsi acha kuwa uchuro. Umeona thread ya yohani mbatizaji aliyoianza jana ukasoma nawewe ukaona uje na bandiko lako kama la yohane
  9. A

    Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM!

    Sasa ulitaka amuogope nani wakati yeye alikuwa mtoto pendwa na mtumwa mwaminifu wa mwendazake.
  10. A

    Hizi Safari za mabasi usiku saa 9, saa 10 ni hatari mno

    Mi nilidhani hatari ni kutokana na ajali kumbe abiria kulala,kuchelewa? Umelazimishwa kupanda ya usiku? Tuache tunaopenda mabasi ya usiku tuyafurahie
  11. A

    Tetesi: Dkt. Slaa adaiwa kugomewa kurudi CHADEMA

    Acha ukichaa wewe. Unaandika as if unapigwa bao
  12. A

    CAG afanye Ukaguzi. Hili Jengo la Ofisi ya CHADEMA halifanani na Sh. Bilioni 2

    Muulize basha mwenzio utapata majibu
  13. A

    CAG afanye Ukaguzi. Hili Jengo la Ofisi ya CHADEMA halifanani na Sh. Bilioni 2

    Wanachadema hawalalamiki we demu wa manzese kwa mfuga mbwa unabwabwaja yanakuhusu? Kwa ujinga wako unadhani ardhi ya zilipo hizo ofisi zina thamani kama ya kwenu kwa mfugambwa au kwa mtogole
Back
Top Bottom