Recent content by Ado Shaibu

  1. Ado Shaibu

    Uchaguzi 2020 Pazia la kutangaza nia lafunguliwa ACT - Wazalendo

    TAARIFA KWA WANACHAMA NA WAPENZI WA ACT WAZALENDO. Kama inavyofahamika, 2020 ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani. Kwa upande wa Zanzibar, watachagua pia Rais wa Zanzibar na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi. Chama cha ACT Wazalendo...
  2. Ado Shaibu

    Zitto aibua mazito ripoti ya CAG

    Zitto aibua mazito ripoti ya CAG • Matrilioni yatumika ‘juu kwa juu’ • Serikali hoi kwa madeni • Aifananisha na mchana • Ahofia ‘EPA’ nyingine BoT SERIKALI ya Tanzania imevunja Katiba kwa kutumia kiasi cha shilingi trilioni 1.7 bila ya kupitia Mfuko Mkuu ambao hukaguliwa na Ofisi ya Mdhibiti...
  3. Ado Shaibu

    Fatma Karume kujitosa kwenye siasa?

    "Nime-dare kuchukua kesi ya Ado kumpeleka Rais Mahakamani ili nihakikishe anafuata katiba yetu. Feleshi (Jaji Kiongozi) ananishughulikia ili kesi zote za kikatiba ninazozisimamia zikose mtu wa kuzisimamia. May be Mungu anataka niingie kwenye kitu kingine. May be kuwa Wakili is no more a place...
  4. Ado Shaibu

    Hukumu ya Ado Shaibu Vs Magufuli kesho

    Mahakama Kuu ya TZ Chini ya Jaji Kiongozi Dk. Feleshi kesho tarehe 20 Sept ( Saa 7.00 Mchana) inatarajia kutoa hukumu ndogo (Ruling) khs mapingamizi yaliyowekwa na Serikali kwenye kesi ya Ado Shaibu Vs. John Pombe Magufuli & Others kupinga uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dk. Kilangi...
  5. Ado Shaibu

    Zitto na Lissu wameruka kiunzi cha kwanza

    Asante sana Kaka. Karibu
  6. Ado Shaibu

    ACT Wazalendo na CHADEMA wamlilia mwandishi Godfrey Dilunga

    Source: Mwananchi Newspaper. Vyama vya upinzani nchini Tanzania vya Chadema na ACT- Wazalendo vimetoa salamu za rambirambi kwa familia ya aliyekuwa Mhariri wa gazeti la Jamhuri, Godfrey Dilunga aliyefariki usiku wa kuamkia leo Jumanne Septemba 17,2019 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili...
  7. Ado Shaibu

    Zitto na Lissu wameruka kiunzi cha kwanza

    ZITTO NA LISSU WAMERUKA KIUNZI CHA KWANZA Na Ado Shaibu. Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa ACT Wazalendo na Tundu Lissu, aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA wanao wajibu wa kipekee katika kuiondosha CCM madarakani kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka...
  8. Ado Shaibu

    Zitto Kabwe , Tundu Lissu turufu uchaguzi mkuu 2020

    ZITTO KABWE , TUNDU LISSU TURUFU UCHAGUZI MKUU 2020. ____________ Na Ado Shaibu. Kabla ya kuandika chochote ninaona ni hekma kutangaza kwanza maslahi kuwa mimi ni Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mawasiliano na Umma wa chama cha Act Wazalendo. Nafasi hii inanipa madaraka ya kuwa msemaji wa kauli...
  9. Ado Shaibu

    Msomi UDSM atabiri kifo cha CUF 2020

    MSOMI WA UDSM ATABIRI KIFO CHA CUF 2020 Mwanazuoni kutoka Idara ya Fine and Performing Arts ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam Dk. Charles Kayoka amesema Chama cha CUF kitadhoofika ifikapo mwaka 2020 kutokana na kupukutikiwa na viongozi na wanachama wake waliojiunga ACT Wazalendo kumfuata Maalim...
  10. Ado Shaibu

    Vyeo NEC vinatolewa kwa rushwa

    TUME YA UCHAGUZI VYEO VINATOLEWA KWA RUSHWA"- MSAFIRI MTEMELWA "Hata vyeo vinatolewa kwa rushwa. Leo ukienda Tume ya Uchaguzi aliyekuwa Katibu Mwenezi wa CCM Ramadhan Mapuri leo ni Kamishna wa Tume. Yaani aliyekuwa Msemaji wa chama kama Polepole leo yeye ndio Kamishna wa Tume!! Leo unamuona...
  11. Ado Shaibu

    Maalim Seif akagua hali ya biashara Zanzibar kuelekea sikukuu ya Eid

    Jana tarehe 03 Juni 2019, Makamo wa Kwanza wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwanachama wa ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad ametembelea mitaa mbalimbali ya Unguja (Mlandege, Mchangani na Mbuyuni) kujionea hali halisi ya biashara katika kipindi hiki kuelekea sikukukuu...
  12. Ado Shaibu

    Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Anaendelea na Ziara Kusini

    Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Ndugu Yeremia Kulwa Maganja anaendelea na ziara yake kwenye mikoa ya Lindi na Mtwara. Kwenye ziara hiyo iliyoanza tarehe 30 Mei, Mwenyekiti amepita majimbo ya uchaguzi ya Newala mjini, Tandahimba, Mtwara Mjini, Ruangwa, Lindi Mjini na leo atahitimisha kwa kufanya...
  13. Ado Shaibu

    Tanzia: Tumaini Bigilimana Diwani Viti Maalum Kibondo kupitia ACT Wazalendo Afariki Dunia

    TANZIA: Chama cha ACT Wazalendo kinasikitika kutangaza kifo cha Diwani wake wa viti maalum katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Ndg. Tumaini Bigilimana ambacho kimetokea leo tarehe 03 Juni 2019 katika Hospitali ya Rabininsia iliyopo Jijini Dar es salaam. Taarifa za mazishi zitatolewa baada...
  14. Ado Shaibu

    Waheshimiwa Hashim Rungwe na Fahmi Dovutwa Wahojiwa na Polisi na Kuachiwa Huru

    UPDATE: WAHESHIMIWA HASHIMU RUNGWE NA FAHMI DOVUTWA WAMEHOJIWA NA POLISI NA KUACHIWA HURU. Mh. Hashimu Rungwe, Mwenyekiti wa CHAUMMA ambaye pia ni Mwenyekiti wa Ushirikiano wa Vyama Nane Vya Upinzani na Mh. Fahmi Dovutwa, Mwenyekiti wa UPDP wamehojiwa leo katika kituo cha polisi cha...
Back
Top Bottom