Tanzia: Tumaini Bigilimana Diwani Viti Maalum Kibondo kupitia ACT Wazalendo Afariki Dunia

Ado Shaibu

Member
Jul 3, 2010
99
108
TANZIA:

Chama cha ACT Wazalendo kinasikitika kutangaza kifo cha Diwani wake wa viti maalum katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Ndg. Tumaini Bigilimana ambacho kimetokea leo tarehe 03 Juni 2019 katika Hospitali ya Rabininsia iliyopo Jijini Dar es salaam.

Taarifa za mazishi zitatolewa baada ya kuwasiliana na Ndugu wa Marehemu.

Mwanaharusi Bunduki, Katibu wa Kamati ya Program za Kijamii.

Tarehe 03 Juni 2019.
FB_IMG_1559560005767.jpeg
 
R. I. P dada

Ila mbona jina la Rwanda hilo?
Nenda wilaya ya Momba bibi yuko Tanzania shangazi yuko Zambia mjomba na akina dada ni hivyo hivyo.

Nenda Ileje hivyo hivyo Chifu wa ileje yuko Malawi anaongoza Malawi na Tanzania.

Nenda Kyela Kuna Wanyakyusa wa Malawi na Tanzania.

Nenda Nyasa hivyo hivyo,.....Hiyo mipaka imewekwa na Wazungu tu.
 
Bila kusahau Arusha longido.

RIP Bi Dada.
 
Nenda wilaya ya Momba bibi yuko Tanzania shangazi yuko Zambia mjomba na akina dada ni hivyo hivyo.

Nenda Ileje hivyo hivyo Chifu wa ileje yuko Malawi anaongoza Malawi na Tanzania.

Nenda Kyela Kuna Wanyakyusa wa Malawi na Tanzania.

Nenda Nyasa hivyo hivyo,.....Hiyo mipaka imewekwa na Wazungu tu.

Safi sana watu wengine wakabila Sana nchi hii, sijui kwanini ?
 
Poleni sana wana ACT na wapenda mageuzi wote kwa msiba huu mzito.
Apumzike kwa amani.
 
R.I.P na poleni Wafiwa.

Surely kila kitu kitayarudia mavumbi kilimotoka si Mwanadamu wala Dhahabu, vyote vitayarudia mavumbi.

Lakini Jina la Bwana litadumu Milele.
 
Back
Top Bottom