Mtaishia kulalama tuuu kwa maana hamjielew lete hoja zenye nguvu kwan nyie mgombea wenu c kazoea kununua watu alishindwa kumnunua diamond ili aende nae kwny mikutano
Taarifa tunazo mnaocomment hapa wote ni wana ukawa mlioandaliwa special kwa kaz hii . Mnaweka post alafu mnacomment wenyew .! Mnajidanganyaaaaaa hamna impact yyote vilazA nyie
Akawadanganye wAtoto wadogo lakin watu wenye akili zao na mtazamo chanya juu ya mustakabari Wa nchi yet hatudanganyiki! Watanzania kuweni makin na uongo Wa huyu mwiz mweny uchu Wa madaraka
Huyu jamaa kituko kweli ! Amekuwa waziri kwa kipindi chote kile mbona hakuwa kufanya Hayo yote ? Huu ni uchu Wa madaraka na analazimisha kweli! Ataweweseka saaaaana
Ugonjwa au kuumwa kwa binadamu yeyote Yule ni jambo la kawaida na hakuna mtu ambaye anaweza kulikwepa kwa sababu lipo nje ya uwezo wa kibinadamu lakini kwa dalili za ugonjwa wake wa PARKISTON zinazotajwa hapa chini na ukizingatia unyeti wa kazi za RAIS ni wazi kuwa EDWARD LOWASA hafai kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.