Ujue ukweli wa Lowassa kukimbia midahalo

Ujue ukweli wa Lowassa kukimbia midahalo

Watz watakuwa wajinga kama wanqmini ccm inaweza kuwajali tena.mjue ccm ilishia wakati wa mwinyi sasa imebaki akina makamba kufanya uswahili na si kusimamia chama.uliona wapi meli ya katibu mkuu wa ccm inabeba pembe za ndovu.
 
Mgonjwa huyo atazimia akiwa kwnye mdahalo hajiwez mpaka akili yake iboostiwe . Mzee wa kujikokotaaaa lowasa
 
Naona UKAWA na Lowasa wanaingia msituni sasa. Hivi Lowasa ataongea kitu gani aeleweke.??? Huo mdahalo utakuwa kichekesho....
 
Vyama vyote vya siasa vimekubali kufanya mdahalo wa wagombea wa Urais kwenye vyombo vya habari lakini vyama vinavyounda UKAWA vimekataa kushiriki kwenye midahalo hiyo kwa kutoa sharti moja la kutomshirikisha mgombea wao na badala yake waende wenyeviti wa vyama.

Utaratibu wa dunia nzima kwenye midahalo wanahudhuria wagombea na siyo wenye viti wa vyama... Yaani Rais Kikwete aache majukumu yake ikulu halafu aende kwenye vyombo vya habari kufanya midahalo wakati kwenye midahalo wanazungumzia sera za chama husika na sasa aliyebeba sera za CCM ni Ndugu Magufuli.

Baada ya kufanya uchunguzi sababu zifuatazo zimebainika kuwa ndiyo vigezo vya kumfanya mgombea wa UKAWA ndugu Lowassa kususia midahalo hiyo
1. Afya yake ni dhaifu na haimruhusu kukaa muda mrefu bila kupewa dawa ya kumuongezea nguvu. kwenye mikutano yake ya kampeni hajawahi kuzungumza zaidi ya dakika 15, sasa atawezaje kuhudhuria mdahalo akaongea zaidi ya nusu saa?

2. Amehusika sana kwenye kashfa nyingi za ubadhilifu wa mali za umma na hana uwezo wa kukataa ukweli huo, hata alipoulizwa na waandishi wa habari huko Dodoma alikataa kulijibu hilo swali, na endapo atahudhuria kwenye mdahalo wowote hilo swali hawezi kuliepuka

3. Chama chake hakina sera nzuri, anakosa kitu cha kuongea awapo mbele ya watu kwakua chama chake hakijaandaa ilani nzuri yenye sera za kumkomboa Mtanzania. Wakati wenzake wanatoa sera za kupunguza gharama za ujenzi yeye anamwaga sera za kuwatoa jela akina Babu Seya na kubomoa nyumba za nyasi nchi nzima kwa muda wa siku 100

Hata mseme nini kila siku sisi tunamchagua mzee wa vita Lowassa kuwa rais wa Tanzania
 
Wenye dalili za kushindwa ndio hung'angania midahalo kama suluhisho lao la mwisho.Mwaka 2010 CCM hawakuona haja ya midahalo,kwa sababu waliona watashinda.Mwaka huu wanaitamani kwa sababu dalili zinaonesha Ukawa watashinda.Ukawa nao wanaringa mwaka huu,kutesa kwa zamu.Hata hivyo Mbatia amewakaribisha.Jitokezeni

Ukawa mbele kwa mbele
 
Tunataka mdahalo wa vyama full stop. Je, Kikwete ataweza mziki kama mwenyekiti ?
 
Saizi yenu ni Mhe.Kubenea siyo rais Lowassa
 
Nyie magamba wakati Prof Juma Ngasongwa anaenda kwenye mdaharo na wagombea wengine nae alikuwa mgombea? Naona EL kawashika pabaya tulieni mnyolewe.

Baada ya Mkapa kufunikwa vibaya na Prof Lipumba kwenye mdaharo wa 1995 Ccm walikataa kabisa haya mambo.Sasa nawashangaa wanatapatapa
 
kwani lazima mbona 2010 ccm ilikataa midahalo na ikashinda, so sio kesi mutuwache!
 
vyama vyote vya siasa vimekubali kufanya mdahalo wa wagombea wa urais kwenye vyombo vya habari lakini vyama vinavyounda ukawa vimekataa kushiriki kwenye midahalo hiyo kwa kutoa sharti moja la kutomshirikisha mgombea wao na badala yake waende wenyeviti wa vyama.

Utaratibu wa dunia nzima kwenye midahalo wanahudhuria wagombea na siyo wenye viti wa vyama... Yaani rais kikwete aache majukumu yake ikulu halafu aende kwenye vyombo vya habari kufanya midahalo wakati kwenye midahalo wanazungumzia sera za chama husika na sasa aliyebeba sera za ccm ni ndugu magufuli.

Baada ya kufanya uchunguzi sababu zifuatazo zimebainika kuwa ndiyo vigezo vya kumfanya mgombea wa ukawa ndugu lowassa kususia midahalo hiyo
1. Afya yake ni dhaifu na haimruhusu kukaa muda mrefu bila kupewa dawa ya kumuongezea nguvu. Kwenye mikutano yake ya kampeni hajawahi kuzungumza zaidi ya dakika 15, sasa atawezaje kuhudhuria mdahalo akaongea zaidi ya nusu saa?

2. Amehusika sana kwenye kashfa nyingi za ubadhilifu wa mali za umma na hana uwezo wa kukataa ukweli huo, hata alipoulizwa na waandishi wa habari huko dodoma alikataa kulijibu hilo swali, na endapo atahudhuria kwenye mdahalo wowote hilo swali hawezi kuliepuka

3. Chama chake hakina sera nzuri, anakosa kitu cha kuongea awapo mbele ya watu kwakua chama chake hakijaandaa ilani nzuri yenye sera za kumkomboa mtanzania. Wakati wenzake wanatoa sera za kupunguza gharama za ujenzi yeye anamwaga sera za kuwatoa jela akina babu seya na kubomoa nyumba za nyasi nchi nzima kwa muda wa siku 100

Nimeziona, ungetuwekea na faida za mdahalo huo. tuone umuhimu wake kwa taifa hili ambalo afya shida, mlo shida, elimu shida, miundombinu shidaaaaaa, vinavyosababishwa na
1-Afya ya viongoz wanaomalizia uongoz kua mbovu. mf kushinda nchi za nje kutibiwa
2- Ubadhilifu ulio kithili bora ya Lowasa anatuhumiwa tuu.
3-Sera mbovu za chama na chama kuongoza nchi badala ya serikal .na...........
 
Vyama vyote vya siasa vimekubali kufanya mdahalo wa wagombea wa Urais kwenye vyombo vya habari lakini vyama vinavyounda UKAWA vimekataa kushiriki kwenye midahalo hiyo kwa kutoa sharti moja la kutomshirikisha mgombea wao na badala yake waende wenyeviti wa vyama.

Utaratibu wa dunia nzima kwenye midahalo wanahudhuria wagombea na siyo wenye viti wa vyama... Yaani Rais Kikwete aache majukumu yake ikulu halafu aende kwenye vyombo vya habari kufanya midahalo wakati kwenye midahalo wanazungumzia sera za chama husika na sasa aliyebeba sera za CCM ni Ndugu Magufuli.

Baada ya kufanya uchunguzi sababu zifuatazo zimebainika kuwa ndiyo vigezo vya kumfanya mgombea wa UKAWA ndugu Lowassa kususia midahalo hiyo
1. Afya yake ni dhaifu na haimruhusu kukaa muda mrefu bila kupewa dawa ya kumuongezea nguvu. kwenye mikutano yake ya kampeni hajawahi kuzungumza zaidi ya dakika 15, sasa atawezaje kuhudhuria mdahalo akaongea zaidi ya nusu saa?

2. Amehusika sana kwenye kashfa nyingi za ubadhilifu wa mali za umma na hana uwezo wa kukataa ukweli huo, hata alipoulizwa na waandishi wa habari huko Dodoma alikataa kulijibu hilo swali, na endapo atahudhuria kwenye mdahalo wowote hilo swali hawezi kuliepuka

3. Chama chake hakina sera nzuri, anakosa kitu cha kuongea awapo mbele ya watu kwakua chama chake hakijaandaa ilani nzuri yenye sera za kumkomboa Mtanzania. Wakati wenzake wanatoa sera za kupunguza gharama za ujenzi yeye anamwaga sera za kuwatoa jela akina Babu Seya na kubomoa nyumba za nyasi nchi nzima kwa muda wa siku 100

Umeongea kisiasa zaidi kiliko ukweli
 
UKAWA wanafanya mambo kwa mahesabu. yaani wanachofanya ni kumchanganya adui. wanapo kuwa karibu na adui wanajifanya wapo mbali nae na wanapo kuwa mbali na adui ndio hapo wanakuwa jirani nae mwisho wa siku wanamaliza mchezo. si ulio kwenye tarehe za uzinduzi wa kampeni kama zili karibiana kumbe UKAWA wanawatanguliza.

MUNGU ibariki UKAWA

Unetoka chakaa ndugu
 
Back
Top Bottom