Recent content by Admini

  1. A

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa Kitaalamu kuhusu solar

    Habarini, Nimenunua solar watt 40 sasa nataka kununua betri na chager controller. Naomba ushauri wa kitaalamu kwa anaefahamu hapo natakiwa kununua betri yenye ukubwa gani na hiyo chager controller yenye ukubwa gani ambavyo vitaendana na ukubwa wa hyo solar watt40?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa na biashara ya kuuza vioo anipe somo

    Namaanisha vioo vya kutengenezea madirsha ya nyumba na nko mkoa wa mtwara
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa na biashara ya kuuza vioo anipe somo

    Nina lengo la kufungua duka la vioo sasa nmeona nije hapa nipate mwongozo kabla sjaingia jumla kwa mwenye ufahamu anipe changamoto zake na kama inakipa
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa na biashara ya kuuza vioo anipe somo

    Habarini kwa ujumla. Nilikuwa na wazo la kufungua duka la kuuza vioo vipi linalipa na changamoto zake ni zipi hasa? Karibuni kwa maoni
  5. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafuta mume ambaye hatoomba ngono kabla ya ndoa

    ww ndo umeanzisha habar za ndoa af unataka anaekuja kukuoa ndo awe na kazi ilitakiwa hyo kaz uwe nayo ww kwnza maan ww ndo unashida ya kuolew
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa na aina ya chakuka cha kuku kinaitwa concerntrte

    Hapa nazungumzia kuku chotara aina ya sasso umri ni kuanzia vifaranga mpaka wanakuwa wakubwa kwa kupelkwa sokoni
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa na aina ya chakuka cha kuku kinaitwa concerntrte

    Habari ndugu Hapa nazumgumzia wale walio katika sekta ya ufugaji na ambao hawapo ila wana uelewa na jambo hili tujuzane hiki chakula aina ya concentrate ubora wake na kampuni ambazo zina chakula bora pia kwa aliewahi kukitumia atupe mafanikio yake
Back
Top Bottom