MAN CITY
Transfer expenditure since 2016
£1.074 billion
Archievement
5 EPL tittles
4 carabao cups
2 FA cups
1 champions league tittle
2 community shields
MAN UTD
£1.077 billion spent since 2016
Archievement
1 Europa league tittle
2 carabao cups
4 times champions league qualifiers.
Pesa...
Watu wanalalamika mara oh City inatumia pesa nying ndio sababu wanachukua makombe, tangu pep kaja city, zimetumika £1.074 billion kwenye usajili, nyumbu toka hiyo 2016 wametumia £1.077 billion kwenye usajili ila hata top 4 tu ni mbinde.
Pesa bila akili ni mzigo.
[emoji23] watu wanawashwa mkuu, sasa ebu fikiria mtu kaishi kujificha kwenye kichaka cha man city haina uefa, unategemea atajisikia vipi baada ya kipyenga cha mwisho kupulizwa, tuwavumilie tu wajikune wamalize.
Nb: more upupu to come, watawashwa sana tu.
HAALAND
top scorer EPL
Top scorer UCL
UCL winner
FA cup winner
EPL winner
Super cup (probably)
MESSI
world cup winner
ligue 1 winner.
world cup best player
Duuh wacha tusubiri ila kiuhalisia haaland kampiga gep kubwa tu messi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.