Green Koryo
JF-Expert Member
- Jul 6, 2022
- 616
- 1,143
Hongereni Man city kwa kutua ubingwa wa Champion League


Hiki kitimu kimeshinda Treble lakini kwenye uzi anachangia mtu mmoja.![]()





🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hiki kitimu kimeshinda Treble lakini kwenye uzi anachangia mtu mmoja. 😂😂😂
Unawashwa.Hiki kitimu kimeshinda Treble lakini kwenye uzi anachangia mtu mmoja. 😂😂😂
Shabik wa arsenal nioneshe hili kombe ,nikuonesha mbuzi anayetagaHiki kitimu kimeshinda Treble lakini kwenye uzi anachangia mtu mmoja.![]()



Man United's 99' season 🆚 Man City's 23' seasonHongereni Man City
Huu ni mwaka wenu ingawa kwa tia maji tia maji!
Klopp anachukua manne mwakani
World cupMsimu wa 2022/23 umekua mzuri sana kwa Alvarez












Messi atabeba.Ballond'or kati ya haaland, Alvarez na kdb Kuna mtu anachukua![]()
Lina nyege hilo achana nalo mkuu.Unawashwa.
Tunajua mnaumia lkn ss hatuna namna mkuuHiki kitimu kimeshinda Treble lakini kwenye uzi anachangia mtu mmoja.![]()

Sababu ya world cup tu?Messi atabeba.




Kuwa na heshima. 😂 Siwezi kuwa shabiki wa Arsenyani.
Timu bora imeshinda. Hakuna namna.Tunajua mnaumia lkn ss hatuna namna mkuu![]()
Ndiyo,alishajibrand.Ingekuwa ukishinda kila kitu unapata ballon d'or basi Varane angepata 2018.Sababu ya world cup tu?