Recent content by Adimu

  1. Adimu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wenye ndoa yenye watoto tu: Je mwanao alishawakuta kimakosa mkiwa faragha? Ulichukua hatua gani?

    Unatakiwa ugande kama sanamu
  2. Adimu

    JamiiForums Tanzania Yanga kelele nyingi, Simba wana nguvu, wamemtoa Kayoko kwenye mfumo, wamemtoa meneja wa uwanja aliyewazuia wasifanye mazoezi

    Tena ilitakiwa tuwabandikie tangazo adi kwenye milango yenu mkifungua tu mnasoma
  3. Adimu

    JamiiForums Tanzania Yanga kelele nyingi, Simba wana nguvu, wamemtoa Kayoko kwenye mfumo, wamemtoa meneja wa uwanja aliyewazuia wasifanye mazoezi

    Tff inaongozwa nalile zwazwa la Somalia ndo linatuharibia mpira wetu, kolo kakimbia mechi na Yanga anahitaji heshima
  4. Adimu

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili Watanzania wapunguze na kuacha kujadili mpira 24/7

    Ajira ziongezeke
  5. Adimu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni kufahamu sifa za wanawake wa Kipare

    Kama hana uwezo wa kupiga shoo kila siku asioe, ajiandae kulogwa na kupandwa kichwani. Nilizaa na mpare akanifanya niingie mahabusu kwa mala ya kwanza
  6. Adimu

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba wakapimwe akili

    Sio kila mada lazima uchangie, unaweza pita kimya kama imekuuma
  7. Adimu

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba wakapimwe akili

    Bila shaka ww ni ke, wanaume tunajenga hoja kuhusu masuala ya mwenendo wa makolo, jibu iyo hoja au unahitaji kua mwanafamilia, mimi mke tayari ninae jadili mada sihitaji mke wa pili
  8. Adimu

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba wakapimwe akili

    Ndo wale makolo tunaowasema, ila tutafika tu japo kwakuchoka sana
  9. Adimu

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba wakapimwe akili

    Yaa kwa akili za makolo inaonesha hata kufikiri kwao ni kudogo sana
  10. Adimu

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba wakapimwe akili

    Mlala hoi shuguli zako ni pulukushani, usiforce tufanane. Ila mbona kama kuna makasiriko ndugu au ni kolo
  11. Adimu

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba wakapimwe akili

    Ndomana tunasema mashabiki wa simba ni makolo
  12. Adimu

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba wakapimwe akili

    Hahaha kolo koloni
  13. Adimu

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba wakapimwe akili

    Ligi kuu ya jamuhuri ya muungano wakati huo, hiyo ni baada ya makolo kufungwa mechi tatu mfululizo zilizopita
  14. Adimu

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba wakapimwe akili

    Najalibu kujiuliza nguvu ipi wanaipata mashabiki ambao timu yao imefungwa mala nne mfululizo na mechi ya tano wameingia mitini kwa kuogopa kipigo lakini bado wanajipa moyo kujifanya wanatamba, wamezidiwa kwa makombe lakini bado wanatamba, ndio timu iliyofungwa magoli mengi zaidi na mechi nyingi...
Back
Top Bottom