Umri wangu ni miaka 29, mkristo,elimu chuo, nimeajiriwa na niko morogoro. Nimtakae umri 30-34,awe mkristo, mwajiriwa au mjasiriamali. Mengine tutafahamiana zaidi.
Kwa PM kwa anae hitaji.
Nafikiri hillitakuwa jema zaidi kwasababu mtamlea mtoto wenu kwa pamoja kama familia. Mpaka kufanya mapenzi nae nafikiri wewe pia ulivutiwa nae vinginevyo isingewezekana kama wewe hukuwa na feelings
Kabla hujamchunguza huyo mpenzi sijui mchumba unauhakika wewe ni mwaminifu kwake!! ukifanikiwa basi na wewe install hiyo kitu kwenye simu yake ili nayeye ajue jinsi unavyomsaliti.
Ukiona wapenzi/wachumba wanasema hawajawahi kuwa na ugomvi/kutokuelewana kati yao, basi hawajawa tayari kwa ndoa. Wote au mmoja wapo sio mkweli na wanaficha tabia zao halisi
Tarehe 19/07/14 uliweka tangazo la kutafuta mchumba, baada ya siku tatu tu unasema huyu senorita ni mzuri wa tabia nk.sidhani kama kwa siku hizo umeweza kuzijua tabia zake vyema kama unavyosifia labda kama mlikuwa mnafahamiana kabla. Vinginevyo huo ni muujiza na kama ni kweli basi hongera sana
hata mimi hali hii inanipa shida. kuna wakati mwingine nasema siwatafuti hata kwenye simu lakini nashindwa kujizuia. Iweje mimi ninawajari washikaji/mashostito lakini wananikumbuka sana wakiwa katika shida!!
siku moja nilikutana na usemi huu ambao hunitia guvu kila wakati " when people remember...
Kulia hupunguza maumivu. Mimi nikimuona mtu analia na kweli yupo kwenye tatizo namuacha alie mpaka anyamaze mwenyewe, baada ya hapo ndo naweza kuongea nae na kuangalia njia ya kutatua tatizo.
Binafsi mimi ni mwepesi wa kulia na huwa sielewi kwa nini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.