Recent content by adeni kyomo

  1. A

    JamiiForums Tanzania World University Rankings 2014-2015

    Kila kitu usa
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa hadhi ya elimu ya Tanzania.

    inawezekana kama ulifeli ndo ukaenda ualimu mana ww mwenyewe ulienda kwasababu ya matokeo mabaya na sio kwa moyo wa kwenda kufundisha
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kwa waliokosa mkopo

    Wengi walio kosa mkopo ni watoto wa wa kulima na kumbuka kila mwanafunzi alilipa non refundable 30000 ukizidisha na walio kosa mkopo tayari ni mtaji wa kunepesha staff wa board
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kwa yeyote aliyekuwa IFM

    Naomba nisaidie kuangalia jina la adeni kyomo kama kapata mkopo
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nakemea vikali hoja ya kuwa walimu wa msingi kuwa walifeli kidato cha nne

    Hata kitaa ukimaliza utasikia umekosa na ualimu kauli hii inadhibitisha wengi (sio wote) wanoenda ualimu wameshindwa credt 3 zinazo kupeleka a level
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wizara: Serikali haina uwezo kuwakopesha wanafunzi wote

    Punguza jaziba ndugu yangu mi ndo basi tena kusoma naona kama ndoto yangu itakua inaishia kwenye mikono ya ccm
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kukosa mkopo kwa zaidi ya wanafunzi 28,000 ni janga la kitaifa

    Mkuu ukisema wenye dv 1 ndo wapate mkopo utakuta weng ni wale waliotoka shule za wenye hela na sent kayumba tutakuwa hatuendi vyuo hapo mi sikuung mkono mkuu
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kukosa mkopo kwa zaidi ya wanafunzi 28,000 ni janga la kitaifa

    Mi naona bodi hawana tatizo tatizo ni selikali inapokuwa inapanga bugdet yake kinachotakiwa ni kuandamana kupinga hili na watanzania tunatakiwa tujitokeze kwenye mandamano kama waarabu sio tunakaa majumbani tunasubiri wengine waandamane
  9. A

    JamiiForums Tanzania Wizara: Serikali haina uwezo kuwakopesha wanafunzi wote

    Walivyo kuwa wancheza kiduku bungeni wanakula hela za bule alaf wanatuambia hela amna wasitutanie
  10. A

    JamiiForums Tanzania Waliopata mkopo HESLB, Chuo Kikuu Mzumbe 2014/15

    vyuo vingine vipi?
  11. A

    JamiiForums Tanzania TCU na NACTE kuna uhusiano kweli

    nashukuru sana mkubwa mana nilikuwa nachanganya sur name
  12. A

    JamiiForums Tanzania Waliopata mkopo HESLB, Chuo Kikuu Mzumbe 2014/15

    mkubwa vyuo vingine vipi?
  13. A

    JamiiForums Tanzania TCU na NACTE kuna uhusiano kweli

    Naangaliaje nipe step mana nimejaribu nimeshindwa
  14. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri wako ni muhimu hapa

    Mi nakushauli subiri maana hicho chuo wanajua board hawajatema bado na watu wengi wanategemea board ndo waende kwa hiyo hawawezi kufanya chochote mpaka board wateme mi mwenyewe naweiti board ndo niende
  15. A

    JamiiForums Tanzania HESLB, mnatufanyia nini hivi?

    Sijui nifanye transfer ya ualimu maana inaonekana mkopo lazima upate
Back
Top Bottom