Recent content by Addis Ababas

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuokoa hali ya mazingira Tanzania?

    Sijui hata niongeze nn. Umemaliza kila kiitu... Serikali ICHUKUE MAWAZO HAYA MAZURI
  2. A

    JamiiForums Tanzania Benjamin Mkapa: Natamani kuwe na Tume Huru ya Uchaguzi, Wapinzani wahusishwe kwenye kupiga na kuhesabu kura na kutangazwa mshindi

    Nadhani kuna UPOTOSHAJI wa maksudi, au watu hawaelewi KIMOMBO kilichomo katika kitabu chake MY LIFE, MY PURPOSE
  3. A

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Vita ya Rushwa haiwagusi/inawakwepa viongozi wa Serikali

    Maweeeeeeee, hiki n ki-Afrikaana au n kiingereza? Andika kwa kiswahili chetu!
  4. A

    JamiiForums Tanzania CCM sasa wanayafanya hadharani yale yasiyojulikana Polisi wako kimya. Angalia wanavyowapiga wapinzani wakikutwa wamevaa fulana

    Ni ya lini, video ilichukuliwa wapi? Isije ikawa n ya mwaka 2008
  5. A

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Rushwa imeongezeka nchini, ushahidi upo

    Hata wakati wa baba wa Taifa, rushwa ilikuwepo... Ila alipambana, kwa kupambana huko TUNAMSIFIA NYERERE. Utaipata wapi nch isiyo na rushwa?
  6. A

    JamiiForums Tanzania The New York Times: Tanzanian leader sacks Spy Chief ahead of polls

    Wala haikuandikwa na mzungu, n msukuma GWAMBAKA NG'HWANACHILALA...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume (Shangazi), kumfungulia kesi Musiba

    Kila "aina ya dai" ina muda wake (wa limitation)... Unapaswa kusoma sheria inayoitwa, the law of limitation Act ili kujua!
  8. A

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume (Shangazi), kumfungulia kesi Musiba

    Naye anaumia na habari za uongo? Maana wengine hasa serikali ikilalamika kuhs habari za uongo, INASAKAMWA mpaka basi. Uhuru wa kujieleza wanaoupigania n upi?
  9. A

    JamiiForums Tanzania Lissu, kashfa uliyoitoa kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere itakugharimu kwa muda wote wa maisha yako

    ALIKOSEA MENGI, na mwenyewe amesema na kuandika. Kinachogomba n style ya kukosoa makosa yake...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Lissu, kashfa uliyoitoa kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere itakugharimu kwa muda wote wa maisha yako

    Mtahangaika sana, hata ubalozi hamuwezi... MSAMEHEWE BURE
  11. A

    JamiiForums Tanzania Lissu, kashfa uliyoitoa kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere itakugharimu kwa muda wote wa maisha yako

    Elimu, busara, hekima, ustaarabu, unyenyekevu (and the like) constitute a great leader... Lissu lacks all but one, elimu. So, hafai!
  12. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Zitto, Tundu Lissu jifunzeni kwa Jeremy Cobyn

    SIYO HAYO TU ... FIkiria nini kingetokea iwapo wabunge wa CCM wangeungana na wa upinzani, ktk kukwamisha hoja ya serikali, na wakafukuzwa (whip withdraw). Naamn CCM ingetukanwa hakuna mfano, lakn kumbe n jambo la kawaida. Wabunge wa conservative wamefukuzwa kwa kuungana na waupinzani kupinga...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Sura ya pili ya waomba Msamaha kwa Rais itizamwe kwa jicho la tatu pevu. Nadhani Rais anahitaji kuwa makini zaidi

    Wanaomba in ascending order... Wa mwisho atakuwa MEMBE
Back
Top Bottom