Recent content by adata5

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mbegu ya Azzolla jijini Mbeya?

    nipe namba yako
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mbegu ya Azzolla jijini Mbeya?

    ninayo mzee sehwmu yoyote inakufikia nipo dar
  3. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ununuaji wa magari

    Hawa jamaa wapo vizuri sana me nilichukua gari kwao halina hata miezi 2 but usiwatumie wale wa pale NHC watakupunguzia dollar 100 watumie SBT wa Japan utapata kwa bei nzuri sana
  4. A

    JamiiForums Tanzania Tunachimba visima kwa bei rahisi kabisa soma hapa ujionee

    'm Innb bhyyb m :-)!
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    wadau habarini za jion samahani naomba kuuliza ist 1NZ ingine 1490cc na ist 2NZ engine 1290cc kati ya hizo kubwa ni ipi na ulaji wa mafuta unatofautiana au upo sawa na spear ni tofauti au sawa kwa bei nahitaji kujua kwa mtalaamu
  6. A

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nissan march inauzwa mil 4.2

    Nauza nissan march shiling million 4.2 kamili no discount clean inside na mziki wa kutosha imetembea km 140250 ipo dar kwa aliye serious an pm 0714511079
  7. A

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    ugojwa ndio mkuu hermoroids jaribu kuugoogle utauona
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    wadau habari leo ningependa kushare nanyi imekuwa desturi yetu kutotoa mrejesho mara baada ya kutumia dawa tulizoelekezwa na kupona mdogo wangu alikuwa anasumbuliwa na bawasiri ambapo alipoenda hospitali walimpa dawa inayoitwa ANUSOL SUPPOSITORIES awe anaingiza kwenye njia ya haya kubwa kwani...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Tatizo la vipele vinavyotokana na kunyoa nywele kichwani chini ya kisogo (Acne Keloidalis Nuchae)

    mkuu kuna dawa inaitwa gentlemen after shave ina maliza hilo tatizo kabisa vinatoa damu au usaha
  10. A

    JamiiForums Tanzania sanlg inauzwa 1200000

    nauza hyo pikipiki san lg 1200000 wadau kwa anayetaka tuwasiliane 0755411358/0714511079 ipo kibaha mailimoja. picha whatasap nimeshindwa kuapload
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kuota nyama puani

    ok kipo kidude cha kupaka na za kunywa hili kuondoa hilo tatizo so kama utavihitaji utanicheki
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kuota nyama puani

    huo sic ugonjwa bali ni dalili ya mwili kuwa na sumu nyingi mwilini wanasema tiba yake utumie sana machungwa kwani yana vitamini c ambayo uondosha sumu ukishindwa kuna tiba mbadala tumia absolvent c inasaidia sana kuondosha sumu kwani ina vitamin c kwa wingi
  13. A

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kutibu miguu iliyopasuka(machacha)

    mkuu pole kama una no ya whatsapp nitumie nikutumie picha na dawa zitaondoa hilo tatizo lako
  14. A

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kufanya Factory reset tecno P5

    upo wapi usaidiwe
  15. A

    JamiiForums Tanzania pikipiki SANLG inauzwa 1000000

    subiri mkuu picha inakuja kwani bado cjaonana na dereva anayeendesha halafu nimetoka nipo morogoro narudi jumanosi hii
Back
Top Bottom