Tunachimba visima kwa bei rahisi kabisa soma hapa ujionee

tawa driller

JF-Expert Member
Dec 11, 2015
296
152
Habari wana jf, Sisi ni Tawa water proffesional ni mabingwa wa kuchimba visima ndani na nje ya Dar es salaam tena kwa bei rahisi sana.Tupo Dar es salaam ila tunaweza pia kufanya kazi hata nje ya Dar es salaam kikubwa bado hatuja expand kwa mikoani ila kama upo mkoani tupigiye simu tunaweza kuja kukupa huduma zetu bora kabisa.
Huduma tutoazo ni kama;
1: ground water survey
2: water well drilling
3ump repair and maintenance
4:water well renovation
5: pump test
6: Flashing
Bei zetu ni rahisi mno kama ifuatavyo

Ground water Survey; bei elekezi

kwa kufanya ground water survey kwa wakazi wa Dar es salaam ni shillingi 250000 (laki mbili na nusu) bei hii ni kwa wale waliopo mjini Dar es salaam ila kwa wale waliopo nje ya Dar es salaam yaani wale waliopo mikoani hakuna bei elekezi bei itapangwa kutokana na mahala ulipo.Tutafanya survey pia tutakupa na report yako bila tatizo.

Water well drilling; bei elekezi kwa

kuchimba kisima zipo za aina mbili kuna za wale waliopo Dar es salaam na wale pia waliopo mikoani.Lakini pia katika suala la kuchimba kisima bei inaweza ikapangwa na nature ya eneo,kwa mfano eneo likiwa na Mwamba bei yake haiwezi ikawa sawa na eneo ambalo halina mwamba.Utofauti wa bei unatokana na gharama za uchimbaji utakuwa unatofautiana eneo lenye mwamba gharama zitakuwa juu kwa sababu machine itakayotumika hapo ni tofauti na mashine itakayotumika katika eneo ambalo halina mwamba.Katika eneo lenye mwamba Tuna tumia Mashine inayoitwa Hummer na wakati huku kusipokuwa na mwamba tunatumia mashine inaitwa Pat drilling 301 au Xy4 kutokana na urefu wa kisima chako.
Bei ya kuchimba kisima eneo lisilo na mwamba ni shillingi 60000 (elfu sitini) kwa mita moja ila eneo lililona mwamba tunachimba kwa shillingi 80000 elfu themanini kwa mita moja hapo tunakuwekea na pampu kila kitu.
Ila wale waliopo mikoani hakuna bei elekezi tutapanga bei kutokana na umbali uliopo.
Katika uchimbaji wetu tutakupa na Pampu na pia tuta fanya set up bure kabisa za pump.

Katika visima tunavyo vichimba tuna weka bomba za inchi 4.5 na 5 aina za bomba tunaweka kutokana na urefu wa kisima kwenda chini.
Polypipe tunaweka ya inchi 1 three quater.
Na graves zinakuwa za kutosha kabisa.
Maeneo mengi ya Dar es salaam tumechimba kwa shillingi 60000 kwa sababu maeneo mengi mwamba wake unatoboka hata kwa mashine ya kawaida.
Mashine tunazotumia ni mpya na ni bado imara kabisa zipo vizuri katika ufanyaji wa kazi.

Tumeshafanya kazi maeneo mengi ya Dar es salaam na mikoani kikubwa tuna uzoefu wa kutosha kabisa katika kazi hizi.Hatujawahi kuchimba tukakosa maji mara zote tunapata maji kila tunapochimba.

Nb:Ground water survey ni muhimu kama unataka kuchimba kisima ili kiwa na uhakika kama kweli eneo lako lina maji,maana maeneo mengine hayana maji for sure...ili.kujuwa kama maji yapo na yapo umbali gani ni lazima ufanya utafiti kwanza.Pia ukishafanya utafiti ndio utajuwa actual cost zako za kisima chako.Maji utakauoyapata unaweza ikatumiankwa matumizi ya nyumban,kumwagilia,mifugo au hata kwa kuuza....

Kwa mawasiliano piga simu namba 0655541948/0628080096
Piga simu muda wowote au tuma msg au watsapp
Tupo Dar es salaam

Tawa water proffesional for safe water,ijari afya yako....

Karibuni saana tuwahudumie
1457548913854-jpg.328586
1457549341377-jpg.328588
1457549369481-jpg.328590
1457549403609-jpg.328591
1457549504440-jpg.328592

We jamaa ni elfu sitini (60) kwa kisima mpaka maji yapatikane bila kujali urefu? Au ni bei ya mita meta moja. Fafanua vizur hapo

Hii mashine ndio uliosema ni mpya??
Pili ukiwa unafanya C&P jribu kuedit kwanza kabla ya kupost,
Na tatu mkinifanyia survey mkasema maji yapo kisha msiyakute gharama za kuchimba zitakua za nani?
Kama tumefanya survey sisi inatubidi tuwe responsible kwa hilo na gharama zitakuwa za kwetu

Kwa uzoefu wako Maeneo ya Pwani kama Mlandiz ili upate maji yasiyokatika kwa mwaka mzima, unatakiwa uchimbe mita ngapi

Kwa uzoefu wako Maeneo ya Pwani kama Mlandiz ili upate maji yasiyokatika kwa mwaka mzima, unatakiwa uchimbe mita ngapi
Huwezi pata maji kwa mwaka mzima ila tutakupatia maji kwa muda mrefu zaidi,kuna maeneo unaweza pata maji zaidi ya mita 70 mkuu

Kwa maeneo ya mbagala inaweza kuwa kiasi gan kwa uzoefu wako........je kunamiamba au la na kama ipo inakuwa na umbal gan

Kwa uzoefu wako Mkuranga mpaka kupata maji ni umbali gani?? na Yanakua maji ya aina gani??
Mkuranga baadhi ya maeneo maji yapo mpaka mita 100 mkuu

Sent from my R1+ using JamiiForums mobile app

Unajuwa hadha inayopatikana kwenye upatikanaji wa maji ya Dawasco? Unajuwa ubambikiwaji wa bili mwisho wa mwezi? Ratiba mbovu ya utolewaji wa maji? Epukana na adha hizo zoote kikubwa ni wasiliana na Tawa Water Proffesional ili wakusaidie kupata kisima chako kwa bei rahisi kabisa. Tawa Water Proffesional ni kampuni bora na inayoongoza katika utoaji wa huduma bora za uchimbaji wa visima na ufungaji wa pampu za maji.Bei zetu ni rahisi saana kupita maelezo. Usidanganyike na matapeli wa mjini watakupa hasara njoo uhudumiwe na watu wenye uzoefu wa hali ya juu katika fani hio.Piga simu namba 0655541948/0628080096Karibuni saana tuwahudumie

Similar Discussions

Back
Top Bottom