Recent content by ADAMU.

  1. ADAMU.

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Lipumba, Mbatia mnanidai Mijeledi!

    MBOWE, LIPUMBA, MBATIA MNANIDAI MIJELEDI... NA LUQMAN MALOTO Juzi, nikiwa nimeketi sebuleni natazama taarifa ya habari, upande wa pili mtoto wangu Nyambo alikuwa anafanya ‘homuweki’ yake. Kila mmoja alikuwa ‘bize’ na majukumu yake ya kumalizia siku. Ila yeye alikuwa ananisumbua, “baba hii ni...
  2. ADAMU.

    JamiiForums Tanzania Joining Instructions Kidato cha Tano 2015, malipo na mahitaji ya shule

    joining instructions mtapata kutoka mashuleni.
  3. ADAMU.

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye Mkutano wa Lowassa wa kutangaza nia ya kugombea Urais - Arusha

    Lowasa ni mti wa watu. Kama c vitina za mkapa na wakatoriki wenzake leo tusingepata taabu ya nani awakilishe chama.
  4. ADAMU.

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye Mkutano wa Lowassa wa kutangaza nia ya kugombea Urais - Arusha

    Tuliolia pamoja tutacheka pamoja.
  5. ADAMU.

    JamiiForums Tanzania Zitto atatua mgomo barabara ya kilwa.

    Kulikuwa na mgomo ktk barabara kuuu itokayo DSM kwenda mikoa ya kusini ktk eneo tajwa Mgomo huu uliochagizwa na ajali za kila mara ktk eneo tajwa wananchi wakaamua kufunga barabara kuzuia magari yote yatokayo Lindi,mtwara na Ruvuma Kadhaalika na magari yatokayo DSM Zitto akiwa ktk safari zake...
  6. ADAMU.

    JamiiForums Tanzania Scientists see possible ancient people on mars

    NASA/JPL-Caltech/MSSS Scientist Sees Possible Signs Of Ancient Life On Mars In Rover Photos Jacqueline Howard The Huffington Post Posted: 01/08/15 08:36 AM ET Updated: 22 minutes ago Evidence that Mars once harbored alien life continues to mount. Just weeks after NASA's Curiosity rover...
  7. ADAMU.

    JamiiForums Tanzania Kikwete hajatoa kauli ya kuhamasisha vurugu. Ni uzushi wa watu wanaomchukia

    Jk kachoka sasa.
  8. ADAMU.

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Jk wa ukweli sana utampenda sana.
  9. ADAMU.

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Mm hapa sasa kmya namsikiliza jk.
  10. ADAMU.

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    na sura mbaya yake lkn aliweza kumsukumiza idd amin nje ya mipaka ya tz.
  11. ADAMU.

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    nae ni mzee wa dar tena tena alieshiliki vita ya uganda. Hata kama ni kwa kadi kama hawajamualika ni kumkosea adabu.
  12. ADAMU.

    JamiiForums Tanzania Johnson Lukaza na Mwesigwa Lukaza washinda kesi ya EPA

    Maajabu haya bila shaka na escrow itaisha hivihivi.
  13. ADAMU.

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Leo twamtosa mtu ndani ya ccm.
Back
Top Bottom