Kutoka mezani kwa Adama H kigamboni Dar esaalam
Rafiki
Ndani ya second 60 zijazo Nitaenda kukuonesha sababu kubwa Tano za kwanini wateja hawanunui Bidhaa au
Huduma Yako
Na Hizi sababu haijalishi una uza nguo,Viatu,magari,viwanja nyumba nk
Zinaingia kote kote
Twende pamoja
Sababu ya...
Kwenye Uzi uliopita niliandikia neno Moja tu la kutumia ili kuwashishi wateja wako wachukue hatua unayoitaka kwenye Matangazo Yako
Either iwe kupiga simu, kuboyfa link, kuweka order,kujaza fomu ya
Mananuzi,kununua Bidhaa zako nk
LAKINI
Leo nitamalizia maneno mengine matatu ya kuyatumia...
Rafki mpendwa
Leo nakuletea maneno matano yenye Nguvu ya kisaikolojia unayoweza kutumia katika Matangazo, mazungumzo Yako ujumbe wako nk
Ili uweze kuwashishi watu wachukue hatua
Twende pamoja
Neno la kwanza ni Neno WEWE Hili neno wewe Lina Nguvu zaidi kwenye
Ushawishi kwa sababu Binadamu...
Unawaonaga wamasai wanavyouza ngombe minadani mara nyingi
wanavyokushawishi kwa kukwambia maneno ambayo yatakufanya ujione tayari unamiliki ngombe wengi mfano mara nyingi utasikia wanasema
ukinunua huyu ngombe lazima zizi lako lijae atakazulia watoto wengi Hadi utaongeza zizi jingine...
Rafiki
Sasa ivi ni saa 9.30 asubuhi.
Ndio muda ambao nimeamua kukuandika makala hii fupi na kwanini nimekuandika makala hii muda huu. Nimekuandika makala hii wewe mjasirimali, Mfanyabiashara unayehangaika kupandisha mauzo ya Biashara yako upate kujifunza na kufahamu moja ya mbinu ya siri...
Binafsi JPM nilimpenda kwenye ku control mfumuko wa Bei na nilimpenda kwenye uwezo wake mkubwa wa kutekeleza miradi mikubwa yote kwa yote JK kwangu ndio Raisi Bora wa wakati wote aliyewahi kupitia hapa Tz
.Uliwahi kwenda maeneo ya Soko kama karikoo au mnadani kufanya Manunuzi ya Bidhaa tofauti Tofauti
LAKINI
.Wakati unafanya matembezi maeneo tofauti tofauti ya soko kusafishia macho ukiwa huna Hili wala lile
.Gafla unakutana na Mfanyabiashara au machinga ana anza kukushawishi
.Ununue Bidhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.